Mahusiano yananipa changamoto

seckymose

Member
Dec 29, 2016
87
47
Habari zenu wakuu,
Baada ya kuwa off relationship kwa takribani a year now hii ni kutokana na kuumizwa na mtu niliyekuw ktk mahusiano kwa takribani 2 years na ambaye kwa kweli nilitegemea tungekula nae kiapo, Mojawapo ya sababu kubwa ya yeye na mimi kuachana ni kuwa she was too demanding 8 She was pressurizing tuoane mapema jambo ambalo mi sikuwa tayari kulifanya kwa kipindi kile kwa sababu kuna mambo niliona kama vile sipo sawa ktk maisha kwani kuingia ktk ndoa inahitaji kujiandaa kiakili na kimwili vizuri,
But for now nikijitathmini najiona nipo tayari kabisa kuingia ktk ndoa kwani vijicourse vilivyokuwa vina nikeep bize nimeshavimaliza, kifedha sipo vibaya kushindw kuhandle family issues,sasa changamoto ninazopata ni hizi zifuatazo,

1)kila nyakati nikitaka kuingia ktk mahusiano Nahisi kushindwa kuwaamini hawa wa viumbe wa kike i think ni kutokana na historia ya nyuma na sijajua natokaje katk hilo,

2)Mazingira niliyopo( watu wanaonizunguka co-workers simulizi zao juu ya mahusiano zimekuwa so negative hivyo kuchangia zaidi tatizo namba 1 hapo juu.

3)Hivi inawezekana kweli kumpata mdada mweye moyo mwema na upendo wa dhati hata kama na yeye aliwahi pitia kipindi kigumu ktk mahusiano? mnawapataje hawa watu coz mi na face changamoto on hw to get those ladies.

4)Moyo wangu unawapenda sana wadada wa kichaga but marafiki zangu wananichallenge sana
kuhusu hao watu, mi naamini tabia ni za mtu binafsi na sio kabila la mtu,

Ndugu zangu wa jf najua kuna watu humu wameptia mengi na pocbo changamoto zangu kuna wengine wameshazivuka hivyo naombeni msaada wa mawazo wa namana ya kupata mahusiano yaliyo bora na imara, Nimedhamiria mwaka huu kuwa na mahusiano yatakayopelekea ndoa sitaki kuptezeana muda,
 
Lipia tangazo mkuu

"Mchaga mwenye mapenzi ya dhati anahitajika"
 
mkuu usiogope ndoa na wadada wa kichagaa ni wake wazuri tu hakuna jambo amabalo halina milima na mambonde changamoto zipo ni wewe kukabiliana nazo.. tatizo unaweka ukuta hata bado hujaingia huko.....

kushindwa kwa ndoa nyingi ni ubinafsi na kukosekana wa kushuka ila omba upate mwanamke mwenye akili jua ulitendalo na mwenzio pia anaweza kulitenda pia
 
Miss fanya mpango wa yule mdogo wako wa kike kule mgombani akutane na hii fursa
 
mkuu usiogope ndoa na wadada wa kichagaa ni wake wazuri tu hakuna jambo amabalo halina milima na mambonde changamoto zipo ni wewe kukabiliana nazo.. tatizo unaweka ukuta hata bado hujaingia huko.....

kushindwa kwa ndoa nyingi ni ubinafsi na kukosekana wa kushuka ila omba upate mwanamke mwenye akili jua ulitendalo na mwenzio pia anaweza kulitenda pia
miss chaga umeonga point, one of my friend just told me the same yesterday.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom