Mahusiano ya padre Pio wa Italia na Deo Kisandu wa Tanzania

(ngoja nichafue mjadala)
kwa wasiofahamu mleta mada,
jamaa ni mtu maarufu sana tena sana.

ni mmoja kati macerebriti wanao mmeneji diamondi platinamu.

kachangia sehemu kubwa kuvuma kwa ngoma ya darasaa inayofahamika kama mziki.

sasa hivi anampango wa kuandaa tamasha la kufungia mwaka na amepanga kumleta krisi blawuni aka Kris brizi.
 
Alianza kuuukana Ukatoliki
Akaja na kuushambulia ulokole,
Akahamia waraka kwa Askofu Pengo,
Akaja na nia ya kuandika Biblia mpya,
Akarudi tena na Mtakatifu Pio!

Huyu MTU ni MGONJWA wa AFYA ya AKILI!...asaidiwe.

Kama mtadharau tahadhari hii ninayoitoa hapa, wazazi wa watoto anaowafundisha Kule Mkolani/Buhongwa sekondari Mwanza kunasiku mtawashuhudia katika vyombo vya habari wakitapika POVU!
Anafundisha special education! He might be the same with his students
 
Acha kuongea mipango yako hadharani, haitakaa itimie kamwe. Fanya ndo uongee
 
Alianza kuuukana Ukatoliki
Akaja na kuushambulia ulokole,
Akahamia waraka kwa Askofu Pengo,
Akaja na nia ya kuandika Biblia mpya,
Akarudi tena na Mtakatifu Pio!

Huyu MTU ni MGONJWA wa AFYA ya AKILI!...asaidiwe.

Kama mtadharau tahadhari hii ninayoitoa hapa, wazazi wa watoto anaowafundisha Kule Mkolani/Buhongwa sekondari Mwanza kunasiku mtawashuhudia katika vyombo vya habari wakitapika POVU!
Mkuu acha masihara ni Mwl wa buhongwa sec huyu kweli?
 
Anafundisha special education! He might be the same with his students
Amesomea special education B. ed Special education si lazima awafundishe wanafunzi wenye kuhitaji uspesho. Ni mwalimu wa kawaida katika shule zetu za kawaida kama mwalimu wa Historia tu.
 
Alianza kuuukana Ukatoliki
Akaja na kuushambulia ulokole,
Akahamia waraka kwa Askofu Pengo,
Akaja na nia ya kuandika Biblia mpya,
Akarudi tena na Mtakatifu Pio!

Huyu MTU ni MGONJWA wa AFYA ya AKILI!...asaidiwe.

Kama mtadharau tahadhari hii ninayoitoa hapa, wazazi wa watoto anaowafundisha Kule Mkolani/Buhongwa sekondari Mwanza kunasiku mtawashuhudia katika vyombo vya habari wakitapika POVU!
Wewe?? huyu jamaa ni mwalimu??hapo kwenye kuandika biblia mpya imeniacha hoi. Nimesoma mkolani nitasikitika sana kama atakuwa anafundisha hapo
 
View attachment 449207 View attachment 449208 Deogratius Kisandu habari za siku....Ninakusalimu kwa jina la Mtakatifu Fransisco wa Assis

Huyu Deo toka alipotoka ndani ya Shirika la Ndugu wadogo la Padre Ricardo(Pekupeku) pale Morogoro amekuwa kama chizi.

Hii ni kwa sbb ya kuvamia imani na kuzama ndani ya imani wakati akili ikiwa haijakomaa.Padre Pekupeku na aina ya maisha yake ukikaa naye lazima uote uchizi tu.

Maana ni mwendo wa kuvaa ndala,kula viporo,kulala chini kwenye ngozi na kushinda shambani kulima na kufanya kazi.Usafiri ni mwendo wa miguu au baiskeli(kwao pikipiki na gari ni kama anasa)

Ukiishi maisha haya hata kwa miaka miwili,kama una imani ya kuungaunga,lazima uwe "chizi" kama Deogratius Kisandu
2f5500c255e7ceb31876f4380ea2f3ea.jpg
mkuu huyo.mzee yuko mkono wa kushoto mbele aneshika makaratasi nimewahi kumuona mwezi october mwaka huu pale nanenane morogoro. Alikuja msibani.... nilivomuona nikawaza huyu ni mfungwa wa kanisa?baadae nikaambiwa ni mtawa.

Aisee hayo maisha ni noma
 
Mkuu ni maisha ya kujitolea sana sana!!Yaani hawa jamaa wamezikana starehe zote za dunia,kama kweli kuna ulimwengu wa pili baada ya huu!!Basi Mungu na awajalie.Ukifuatilia maisha yao,inashangaza sana mkuu IGUDUNG'WA
 
Kama nikweli huyu jamaa ndie anayeidai ITV trion 5 na kwa Maelezo aliyotoa Mhadzabe hapo juu nduguze wakawaone mahoka.
 
Back
Top Bottom