Mahusiano ya bangi, Che Guevara, Castro, Bob Marley na harakati za kisiasa

The strain

Member
Aug 26, 2016
60
125
Kwanini BANGI inahusishwa na harakati za kisiasa,hiphop na wanaharakati kama Cheguevara,Castro na Bob Marley wengi wao mi watumiaji wa sigara kubwa yaani ukiwafuatilia hawa wavutaji wa bangi watakuambia hao jamaa ni marole model na wanawasifu sana maana wamepigana kiume sana mpaka kupata ukombozi wa mataifa yao na fikra zao kudumu mpaka leo pia wapo wengine wengi watumiaji wa sigara kubwa wanawahusudu.Sasa huwa najiuliza kuna uhusiano gani wa Bangi na hizi harakati hawa, maana utakuta mtumiaji gheto kwake kapamba picha za hawa watu sambamba na picha za mjani....

Hiphop dislike bongo flava
 
Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,559
2,000

Screenshot_2017-04-11-10-46-33.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom