Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,175
Nilikuwa ninalipitia gazeti la Tanzania Daima na nikakutana na hii story ya huyu baba ambaye amechukizwa sana na tabia mbaya ya mtoto wake hadi kusababisha kujinyonga..........tukio hili limetokea kule Hai..................wenye habari za ndani zaidi watujuze..gazeti halijatoa hii kwa undani sana................mambo yalikuwaje hapo hadi baba mzima akajitia kitanzi..........