Mahusiano na wafanyakazi majumbani, ni tamaa tu?

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
kuwa na uhusiano na housegal/huseboy/shemejio/ ni tamaa/mapenzi/ukosefu wa maadili au?
 
For the same reasons married people have affairs with coalligues, majirani, older/younger people. Kiu tu ya dhambi nafikiri
 
ata singles pia unaweza kuwa na gfriend wako ukatembea na rafiki yake au dada/mgogo wake!Hujaona hii?
kwa singles haiwezi kuwa kesi,maanake kwa uzoefu ninaoufahamu HASA NIKIWA CHUO...!mdada anaweza kuja na rafiki yake siku mbili tatu baadae yule rafiki anaanza mahusiano na jamaa.

ni kawaida na wala sishangai kwasababu HAKUNA SERIOUS COMMITMENTS PALE
 
kuna masababu mengi shost harafu vi-house gal vingine vinakuja kwako maalum kukuibia mme si lolote ;)
 
kwa singles haiwezi kuwa kesi,maanake kwa uzoefu ninaoufahamu HASA NIKIWA CHUO...!mdada anaweza kuja na rafiki yake siku mbili tatu baadae yule rafiki anaanza mahusiano na jamaa.

ni kawaida na wala sishangai kwasababu HAKUNA SERIOUS COMMITMENTS PALE

marriage za karne hii! Unaweza kuwa serious kumbe mwenzio hayuko serious. Kuishi ni kujifunza ndugu yangu!
 
Unajua maana ya kupenda?
- + si zinavutana? Ndicho kinachotokea binafsi mm sioni kama kuna ubaya kama watu wamekubaliana wamegane sasa wewe nini kinakuuma? Waache wamegana kibaya kama jamaa amelazimisha ndo ubaya hapo jamaa ana baka lakini kama kuna makubaliano maalumu waache waenjoy jamani.
 
wat do u mean si serious?ukianza ukiwa single si ndo mpaka utakapooa au kuolewa utaendeleza hako kamchezo?thats vry bad
kwa singles haiwezi kuwa kesi,maanake kwa uzoefu ninaoufahamu HASA NIKIWA CHUO...!mdada anaweza kuja na rafiki yake siku mbili tatu baadae yule rafiki anaanza mahusiano na jamaa.

ni kawaida na wala sishangai kwasababu HAKUNA SERIOUS COMMITMENTS PALE
 
ata singles pia unaweza kuwa na gfriend wako ukatembea na rafiki yake au dada/mgogo wake!Hujaona hii?

Wewe ukiona mwanaume kafanya ngono zembe na mdogo au dada wa mkewe/girlfriend wake ujue mwanamke ndiye alianzisha kumtega.

Linapokuja suala la ngono zembe wanaume ni wadhaifu zaidi kuliko wanawake!
 
Back
Top Bottom