hehehe!kuwa na uhusiano na housegal/huseboy/shemejio/ ni tamaa/mapenzi/ukosefu wa maadili au?
kwa singles haiwezi kuwa kesi,maanake kwa uzoefu ninaoufahamu HASA NIKIWA CHUO...!mdada anaweza kuja na rafiki yake siku mbili tatu baadae yule rafiki anaanza mahusiano na jamaa.ata singles pia unaweza kuwa na gfriend wako ukatembea na rafiki yake au dada/mgogo wake!Hujaona hii?
Hata wanawake pia huwa na mahusiano Geoff,you will be surprised.hehehe!
wanaume wenye ndoa zao wana kesi ya kujibu
kwa singles haiwezi kuwa kesi,maanake kwa uzoefu ninaoufahamu HASA NIKIWA CHUO...!mdada anaweza kuja na rafiki yake siku mbili tatu baadae yule rafiki anaanza mahusiano na jamaa.
ni kawaida na wala sishangai kwasababu HAKUNA SERIOUS COMMITMENTS PALE
Na watakaooa siku za karibuni!hehehe!
wanaume wenye ndoa zao wana kesi ya kujibu
kwa singles haiwezi kuwa kesi,maanake kwa uzoefu ninaoufahamu HASA NIKIWA CHUO...!mdada anaweza kuja na rafiki yake siku mbili tatu baadae yule rafiki anaanza mahusiano na jamaa.
ni kawaida na wala sishangai kwasababu HAKUNA SERIOUS COMMITMENTS PALE
kuna masababu mengi shost harafu vi-house gal vingine vinakuja kwako maalum kukuibia mme si lolote
ata singles pia unaweza kuwa na gfriend wako ukatembea na rafiki yake au dada/mgogo wake!Hujaona hii?
.hehehehehehe!Na watakaooa siku za karibuni!
uzinzi bin zinaakuwa na uhusiano na housegal/huseboy/shemejio/ ni tamaa/mapenzi/ukosefu wa maadili au?