Mahusiano na mtu nisiyemjua

Ndio inawezekana, lkn hii nilazima uwe kwanza ulikua Marekan, ukajisajili wasap hukohuko... Sasa umerudi bongo.. Unaendelea kutumia namba yako hiyohiyo.

Je hapa bongo, kuna utaalam wa kujisajili wasap kutumia Code # za nchi nyingine naupo hapahapa Bongo na laini yako ya Tgo ????.

Na kwa inshu ya huyu Bidada, kama jamaa alikua anatumia hiyo namba hapahapa bongo..why hakutuma picha?? Kwann hakutaka Video Call???.
Mkuu nawe,a nikatengeneza namaba ya marekani na kukutumia text ya kawaida kabisa ukadhani imetoka us , sio lazima iwe kama udhaniavyo
 
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?

Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( not sure) ...then tukawa tunaendelea kuchat ,kuchat kila siku almost 2 months tunawasiliana mpaka tukawa na MAHUSIANO ya online tu...

One day aliniambia that anarudi tz so atanitafta na no nyingine .......kweli bhn wiki ilivyoisha akanitumia msg kuwa yupo tz na akanipigia pia ...akaniambia kesho yake tuonane 🤪.... Kesho ikafika bhn akaniambia nitamkuta mbezi ya kimara...kweli mtoto wa kike nikajiandaa nikaenda tukawasiliana nikiwa stand ....akaja tukasalimiana ....bas bhn nikapandishwa pikipiki ati tunaenda kibaha kuangalia shamba lake ...tukaenda bhn...

Hamna Cha shamba wala nini akakodi lodge (hakulipia😭) sasa tukawa tumekaa KWA nje (lakini ni mazingira ya ndani ) ilikuwa siku ya jumamoc tunapiga story kabla ya kuingia ndani akaniuliza una acc ya bank nikqjibu sina , business gani unayo ...nikqjibu kuku nauza chotara .....basi tukaingia ndani akaniuliza una 50 hapo?

Nikqjibu hapana .....akatoka nje .. akarudi akaazima simu that ampigie mdogo wake ...kapiga wakaongea ....kabla yalolote kufanyika akatoka Tena mara ya tatu nje 😭jaman nyuma ya kasha la simu niliweka 20k huku mkononi sina hata mia ...

Jamaa akasepa na simu baada ya kuhisi sina pesa ....inaonekana ni mtandao wa wezi na inaonekana nilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu 😊🙌
Unaakili za kipopoma Kama GENTAMYCINE.
 
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?

Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( not sure) ...then tukawa tunaendelea kuchat ,kuchat kila siku almost 2 months tunawasiliana mpaka tukawa na MAHUSIANO ya online tu...

One day aliniambia that anarudi tz so atanitafta na no nyingine .......kweli bhn wiki ilivyoisha akanitumia msg kuwa yupo tz na akanipigia pia ...akaniambia kesho yake tuonane .... Kesho ikafika bhn akaniambia nitamkuta mbezi ya kimara...kweli mtoto wa kike nikajiandaa nikaenda tukawasiliana nikiwa stand ....akaja tukasalimiana ....bas bhn nikapandishwa pikipiki ati tunaenda kibaha kuangalia shamba lake ...tukaenda bhn...

Hamna Cha shamba wala nini akakodi lodge (hakulipia) sasa tukawa tumekaa KWA nje (lakini ni mazingira ya ndani ) ilikuwa siku ya jumamoc tunapiga story kabla ya kuingia ndani akaniuliza una acc ya bank nikqjibu sina , business gani unayo ...nikqjibu kuku nauza chotara .....basi tukaingia ndani akaniuliza una 50 hapo?

Nikqjibu hapana .....akatoka nje .. akarudi akaazima simu that ampigie mdogo wake ...kapiga wakaongea ....kabla yalolote kufanyika akatoka Tena mara ya tatu nje jaman nyuma ya kasha la simu niliweka 20k huku mkononi sina hata mia ...

Jamaa akasepa na simu baada ya kuhisi sina pesa ....inaonekana ni mtandao wa wezi na inaonekana nilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu
Umeingizwa mjini Darisalama kizembe sana.

Pole sana ndiyo maisha ya sasa hivi, ni kuwa makini na mitandao ya kijamii.
 
Inakua hivi... Jamaa anakua na mshikaji wake wa mbele anampanga

So demu muda wote anajua anachat na wambele... Ila hapo unakuta Picha hamna wala kupiga video hamna.

Alafu baadae anatafutwa na mwingine wa hapahapa Bongo .

Anamwambia nko TZ banaaa. Tuonane.

Demu anajua kweli jamaa kaja. Kumbe yule wa mbele na huyu ni watu wawili tofauti

Tena anabahati..alikua anatombwa., na simu wanabeba na hela wanabeba. Na lodge anakosa chakulipia, msimamizi wa lodge anampiga mashine tena.
Hahahahahahahhahah
 
Ooohooo my Eyes ...... Uwii daahh.... Let me confess this , your profile picture shows off a sexy ,hot and beautiful angel, only the halo and wings are missing...

Guess what? your second name must be 'storm'? Because, you have blown me away.

Yaan Hii sura yako. Kuna mdada humu JF anayo kabisaa, Hizo Lips zako. macho ,sura ilivyojaaa ohooooooo

Wakubwa wanafaidi jamaan, nikikua mtanikoma.... Wee dada wa JF. Uliyenikataa kisa bado nasoma sekondari, NIKIKUA UTANIKOMA.
Tuliza mzeeee ohoooo
 
Umenikumbusha huu mchezo, enzi za ujana kuna mtu nilikuwa nae mtandaoni nikamdanganya Niko nchi za nje basi nikampa namba yangu ya kaka Angu alikuwa anasoma nje kidogo akawa anachat nae, tukija FB anachat na mm akija whatap anachat na kaka Angu. Mpka nikamdanganya ndo narudi bongo sijui nipo Nairobi airport. Sijui iliishiaje ishiaje nimesahau
 
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?

Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa" lakini nilimuuliza ni nani bcoz namba ngeni . Aliniambia anaitwa John yupo dubai ( not sure) ...then tukawa tunaendelea kuchat ,kuchat kila siku almost 2 months tunawasiliana mpaka tukawa na MAHUSIANO ya online tu...

One day aliniambia that anarudi tz so atanitafta na no nyingine .......kweli bhn wiki ilivyoisha akanitumia msg kuwa yupo tz na akanipigia pia ...akaniambia kesho yake tuonane .... Kesho ikafika bhn akaniambia nitamkuta mbezi ya kimara...kweli mtoto wa kike nikajiandaa nikaenda tukawasiliana nikiwa stand ....akaja tukasalimiana ....bas bhn nikapandishwa pikipiki ati tunaenda kibaha kuangalia shamba lake ...tukaenda bhn...

Hamna Cha shamba wala nini akakodi lodge (hakulipia) sasa tukawa tumekaa KWA nje (lakini ni mazingira ya ndani ) ilikuwa siku ya jumamoc tunapiga story kabla ya kuingia ndani akaniuliza una acc ya bank nikqjibu sina , business gani unayo ...nikqjibu kuku nauza chotara .....basi tukaingia ndani akaniuliza una 50 hapo?

Nikqjibu hapana .....akatoka nje .. akarudi akaazima simu that ampigie mdogo wake ...kapiga wakaongea ....kabla yalolote kufanyika akatoka Tena mara ya tatu nje jaman nyuma ya kasha la simu niliweka 20k huku mkononi sina hata mia ...

Jamaa akasepa na simu baada ya kuhisi sina pesa ....inaonekana ni mtandao wa wezi na inaonekana nilikuwa na chat na watu wawili tofauti ...yule wa KWAnza na huyu nilieonana nae ......nashukuru mungu hatukufanya kitu

Mwaka 2019 unakubali kupanda boda boda pole sana ..dem mpanda boda boda hapana
 
Dah! Mjinga sana huyo. Anaachaje mbususu hivi hivi? Au dada wewe sio mrembo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wait nalea KWAnza mtaniua badae
Hivi mamy unaweza kukubali kuingia hotel na mtu kwa mara ya kwanza?

Pili mlipokutana mkapanda pikipiki hukushutuka huyu mtu atakuwaje anatokea dubai?

Alivyoanza kukuuliza biashara zako, benk still hukushutuka? Siwezi kukulaumu ila mimi nisingeingia huo mtego pole.
 
Angesema anatokea kwa mpalange usingehangaika kuonana nae ila nguvu ya Dubai imekufanya umkubali kabla hamjaonana teh!

Hadithi yetu inatufundisha tuachane na tamaaa

Hope hukuliwa kweli kama ulivyoandika hapo
Aliliwa sana sema tu hawezi kusema !
Mwanaume gani akupeleke lodge alafu aishie nje ni lodge gani inaruhusu mkae nje mpige chabo wenzenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom