Mahusiano, mapenzi na urafiki

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
*Relationships can be boring - not people!

*Love has reasons that reason knows nothing of.

*Friendship: a building contract you sign with laughter and break with tears.

...humu kwenye JF kuna wengine ama kwa makusudi au kutokujua, wanafanya kila hila kuchochea, kuchonganisha, kukashifu Imani za watu wengine. Katika kila thread wao wamo tu kuchochea chuki, kashfa, dharau na katika hayo... ili iweje???????????? pakichafuka mtayaweza matokeo yake??????

Intelligence is like underwear, everyone has it but you don't have to show it off ...Coz, artificial intelligence is no match to natural stupidity!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tuheshimiane kabla mambo hayajaanza kubadilika, tunajivunia AMANI tanzania, lakini mkumbuke JF inasomwa na Watanzania hao hao walotofautiana imani, ...panahitajika cheche tu za fikra kuwasha moto ambao vizazi na vizazi vijavyo vitakumbushiwa Jamii Forums ndipo ulipoanzia...

Grow up buddies, Ukubwa sio kujua kujua ku type na kumwaga upupu kwenye web, ni pamoja na kufikiria uzito wa maneno katika jamii husika, na matokeo yake. Usidhani eti ukijificha nyuma ya nickname ya JF ndio huachi footprints zako kwenye mtandao... You'll be caught, most probably off guard, popote ulipo hapa duniani.
 
...humu kwenye JF kuna wengine ama kwa makusudi au kutokujua, wanafanya kila hila kuchochea, kuchonganisha, kukashifu Imani za watu wengine katika kila thread wao wamo tu kuchochea chuki, kashfa, dharau na katika hayo... ili iweje???????????? pakichafuka mtayaweza matokeo yake??????
[/U]...
Unafikiri ni chuki basi............unajua imani i tofauti sasa taafisiri ya imani ni kama tusi kwa imani nyingine.......imagine imani nyingine inaita imai nyingine kafir....kwao ni sawa....

.......mkuu nafiikiri acha watu wamkome nyani giladi......

pia hapa hamna mapenzi na mahisiano.......iam single mwaka wa 3 sasa nimo humu sijabatika kupata jiko.......
 
...humu kwenye JF kuna wengine ama kwa makusudi au kutokujua, wanafanya kila hila kuchochea, kuchonganisha, kukashifu Imani za watu wengine. Katika kila thread wao wamo tu kuchochea chuki, kashfa, dharau na katika hayo... ili iweje???????????? pakichafuka mtayaweza matokeo yake??????

Intelligence is like underwear, everyone has it but you don't have to show it off ...Coz, artificial intelligence is no match to natural stupidity!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tuheshimiane kabla mambo hayajaanza kubadilika, tunajivunia AMANI tanzania, lakini mkumbuke JF inasomwa na Watanzania hao hao walotofautiana imani, ...panahitajika cheche tu za fikra kuwasha moto ambao vizazi na vizazi vijavyo vitakumbushiwa Jamii Forums ndipo ulipoanzia...

Grow up buddies, Ukubwa sio kujua kujua ku type na kumwaga upupu kwenye web, ni pamoja na kufikiria uzito wa maneno katika jamii husika, na matokeo yake. Usidhani eti ukijificha nyuma ya nickname ya JF ndio huachi footprints zako kwenye mtandao... You'll be caught, most probably off guard, popote ulipo hapa duniani.

Basi nilipoanza kuisoma thread hii nikaona kama wewe ndio mkombozi na mpenda amani lakini ile kumaliza kuisoma nikagundua umechochea na kuamsha hisia ambazo hazikwepo kabisa. Mkuu hapa sio mahali pa kutishana, ..eti you'll be cought no matter you use different name.... shit! Ukitaka kusuruhisha watu hata sikumoja usijifanye kuleta vitisho kwani vitisho ndio chanzo cha ugomvi. Siku zote ukikuta mtu anachepuka jaribu kumrudisha kwenye mstari kwa lugha nzuri na yaupole utafanikiwa lakini sio kwa staili yako hiyo mkuu.
 
...bm21, i can explain it to you, but i can NOT understand it for you brother. Thanks for your ''interpretation, understanding and submition, ' anyway :D
 
Unafikiri ni chuki basi............unajua imani i tofauti sasa taafisiri ya imani ni kama tusi kwa imani nyingine.......imagine imani nyingine inaita imai nyingine kafir....kwao ni sawa....

Kwani neno Kafir ni tusi...!?
 
Back
Top Bottom