Mahusiano mabovu na Wakwe, yanarahisisha mke kuchepuka

Ramea

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,146
4,053
Kuna wanaume ambao hawana maelewano mazuri na wazazi wa wake zao. Hata mawasiliano Kati yao ni nadra sana na pengine kutowasiliana kabisa. Hii ni hatari kwa afya ya ndoa yako. Nina kisa hiki ambacho kinanitafakarisha sana sipati majibu kuhusu huyu mume wa mchepuko wangu.

Ameolewa Dar tena kwa ndoa ya kanisani, binti nilikuwa na mahusiano naye miaka ya nyuma nikiwa chuo. Naye wakati huo alikuwa mkoa mwingine akisoma sekondari. Baadae akaenda chuo Darisalama ambako akapata mume aliye naye.

Mapenzi ya ujanani huwa matamu sana na hata ukioa au kuolewa huwezi kumsahau mliyefundishana uchakataji wa papuchi.

Huyu mke wa mtu huwa anaaga kwa mumewe kuwa anaenda kwa wazazi wake mkoa fulani, kumbe anakuja mkoa mwingine nilipo namchakata alafu anaenda mkoa wa wazazi wake ili siku atakayorudi kwa mumewe ionekane kashuka na bus za mkoani kwao kwakuwa mume wake huja kumpokea Ubungo.

Huwa namhoji, hivi hawezi kuwapigia wakwe zake? Anajibu mume wake haelewani vizuri na wazazi wake, ni jeuri na mwenye dharau. Huwa anajitahidi tukiwa pamoja kuweka simu yake 'flight mode' ili hasipatikane Kama mmewe atapiga simu. Mume wake ni mwenye kipato kizuri na kazi nzuri tu, amenizidi saana, ila katika story za huyo binti kuna mapungufu mengi kwa jamaa. Kubwa ni hili la 'kuwafungia vioo' ndugu za mke wake.

Laiti kama angekuwa ana mawasiliano mazuri na ndugu za mke, naamini huyu bidada angekamatika, na hako katabia kake, tena na wivu alionao mumewe (huwa ananionesha msg za mume wake) jamaa amempenda sana bidada na anambana kwelikweli anajua anatafuna peke ake kwa 100% kama angejua anachofanyiwa, angemchoma moto kwa gunia kadhaa za mkaa.

Kuna madhaifu mengi yanayomfanya achepuke, lakin hili la kuwatua wakwe zake ni kosa kubwa sana. Mana mama wa huyo Dada naongea naye kwa simu kupitia simu ya binti yake tunapokuwa pamoja. Aliupenda urafiki wetu tukiwa vijana wadogo na alihisi ni mm ningemwoa mwanae.
 
"Watching is not seeing " hii kauli naiamini sana maishani mwangu.
 
Aibu naona Mimi, wanaume wa sikuhizi mkoje lakini hamna koromeo kabisa
 
Na kukumbusha tu malipo hapa hapa duniani itafika zamu yako ya kukongewa mkeo.

Watoto wengi wakike kama hujui wanataka wakiolewa,waume zao wasahahu kwao,inawezekana kwa asilimia kubwa jamaa kaaamua kukomaa na msimamo wake.
 
Wanawake niliwapenda sanaaaaaaa...
Sanaaaaaaaaaa lakini mlichonifanyia hata kwa barabara mkipita ,piteni kulia mkiniona kushoto.
 
we jisifu na kujiona kidume kwa huo upuuzi unao ufanya(karma is a bitch)
na wewe huyo mkeo atafanywa hivo hivo na itakua zaidi ya hiko unacho fanya.
NB;muosha huoshwa
 
Mfano uliotoa ambao ni linked directly na wakwe ni 1 kati ya scenerios milioni kumi!

Sasa sijui uwe na mahusiano na dunia nzima basi?
 
Back
Top Bottom