Mahujaji wasota uwanja wa ndege bila maji!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahujaji wasota uwanja wa ndege bila maji!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Nov 19, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,194
  Likes Received: 3,127
  Trophy Points: 280
  Wale ndegu zetu waliosota kipindi kilichopita chha mahujaji leo hii wameendelea kuonja joto ya jiwe na safari hii ni tatizo la ""YEMEN AIR".
  habari zilzotofikia zinasema mahujaji wamelala tangu jana huku wakiwa bila blanketi wala shuka za kulalia,,habari kamili mpaka leo hii waheshimiwa bado wanaendelea kulala pale nje uwanja wa ndege wa kimataifa wa nyerere!!!
  kumbe swala la mahujaji si mchezo jamani!!!kuwapeleka hawaa ujiandae na kwa sala si pesa pekee .....
  kila la kheri wote mfike salama
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Nov 19, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,071
  Likes Received: 5,206
  Trophy Points: 280
  Tumeimba hawakusikia; ile ndege yao ya Airbus si bado iko on the ground? Wale marubani wanaolipwa bila kurusha ndege si bado wapo? Na wale wanafunzi waliopelekwa Afrika kusoma bila kuwa na hela ya kulipia masomo wamesharudi? ATCL is joke, na serikali is more than a joke!!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,194
  Likes Received: 3,127
  Trophy Points: 280
  wakati huu nasikia jamani ngoma linachezwa na yemen air pekee!!!!!!
  kazi kweli kweli!!!!na yule aliewaingiza mitini ATCL ndie huyo huyo ameanza kuwaonyesha mjini YEMEN AIR!!!!1
  BABU KUBWA!!
   
 4. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #4
  Nov 19, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,338
  Likes Received: 1,693
  Trophy Points: 280


  ...foreign affairs ..membe na seif idd..wawasilishe malalamiko ubalozi wa yemen in rescue of these guys.....
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Nov 19, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,071
  Likes Received: 5,206
  Trophy Points: 280
  mwaka jana hatukuwa na dege kubwa la kisasa kama Airbus 320; mwaka huu tunalo tena lililoingizwa kwa mbwembwe zote licha ya sisi wengine kuwapigia kelele toka siku ya kwanza. Sasa dege wanalo haliruki, na mahujaji wanateseka tena. Nakumbuka JK aliahidi mwaka jana kuwa jambo hili halitatokea tena..

  Watanzania tuna kumbukumbu fupi sana.. ndio maana sitashangaa Watanzania watajisikia vibaya wakisia watoto wamekufa kwenye ukumbi fulani au bweni fulani kutokana na kukosa hewa au katika hatari ya moto na wataanza kujiuliza "imetokeaje"!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,194
  Likes Received: 3,127
  Trophy Points: 280
  haswaaaaaa
   
 7. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2008
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,167
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  We need to have a consumer protection agency. Otherwise our people will continue to be exploited day and night.

  The leadership of the pilgrims need to be taken to task. They bear responsibility for what happens to their charge.
   
Loading...