Mahujaji 31 wa Shiite wafariki na 100 kujeruhiwa kutokana na mkanyagano msikitini

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,925
2,000
Takriban Mahujaji 36 wa Shiite wamefariki na wengine 100 kujeruhiwa kutokana na mkanyagano uliotokea Msikitini wakati wa ibada ya Ashura mjini Karbala

Mamia ya Mahujaji hao walikuwa wamekusanyika katika ibada ya kumbukumbu ya kifo cha Imam Hussein, Mjukuu wa Mtume Muhammad ambaye aliuawa vitani katika karne ya 7, tukio ambalo liliimarisha uhasama kati ya madhehebu ya Sunni na Shiite

========================================================

BAGHDAD — A stampede killed dozens of pilgrims in Iraq’s holy city of Karbala on Tuesday as Shiite Muslims marked one of the most solemn events in their calendar.

At least 36 people were killed and more than 100 injured, some of them critically, in the Ashura commemorations, according to a spokesman for the Health Ministry.

Hundreds of thousands of Shiites had gathered in Karbala to mark the death of Imam Hussein, a grandson of the prophet Muhammad who was killed in battle in the 7th century, an event that cemented the schism between the Islamic faith’s Sunni and Shiite sects.

The stampede occurred toward the end of the procession, officials said, as tens of thousands of people rushed toward Hussein’s shrine. The charge, known as the Tweireej run, is named after the nearby village from where Hussein’s maternal cousins tried to mount a rescue — only to realize he had already been killed.

A spokesman for the body in charge of the shrine said the stampede began after several pilgrims fainted as temperatures topped 100 degrees Fahrenheit. Unable to see what had happened up ahead, the waves of pilgrims kept running, before many of them slipped and stumbled in a deadly crush. “Aid workers immediately started to evacuate the injured, but due to the large number, it happened so fast and led to casualties,” Afdhal al-Shami said.

A photograph shared widely on social media, apparently from the scene, showed bodies slumped and strewn across a wooden walkway as other pilgrims gestured for help.

Hundreds of thousands of Shiite worshipers also gathered in Baghdad to mark Ashura amid a beefed-up security presence. While the Iraqi capital has been largely free of major attacks in recent years, sleeper cells of the Islamic State extremist group remain active nationwide, and Sunni militants have repeatedly targeted Shiite shrines and gatherings in recent decades.

In 2004, more than 140 worshipers were killed and hundreds injured in near-simultaneous attacks on shrines in Baghdad and Karbala during Ashura.
 
Dalalims

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
235
250
... kumbe Iraq nako kuna Islam holy city (Karbala) baada ya Mecca, Madina, na Jerusalem?
MSIKITI WA MACCA, MSIKITI WA MADINA NA MSIKITI WA EL AQSAA PALESTINA. BASI HIYO TU NDIO IMETAJWA KTK MAFUNDISHO KWAMBA NDIO MISIKITI YA KUFUNGIWA MISAFARA.

HAYO MAMBO YA KARBALAA HUKO KWENYE MIJI YA IRAQ HAIKUTAJWA POPOTE KTK UISLAM. HAYA NI MAMBO YA SERIKALI YA IRAN NA WAFUASI WAO DUNIANI !!
 
pye Chang shen

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
7,290

Mashia Weusi watakupinga
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,472
2,000
MSIKITI WA MACCA, MSIKITI WA MADINA NA MSIKITI WA EL AQSAA PALESTINA. BASI HIYO TU NDIO IMETAJWA KTK MAFUNDISHO KWAMBA NDIO MISIKITI YA KUFUNGIWA MISAFARA.

HAYO MAMBO YA KARBALAA HUKO KWENYE MIJI YA IRAQ HAIKUTAJWA POPOTE KTK UISLAM. HAYA NI MAMBO YA SERIKALI YA IRAN NA WAFUASI WAO DUNIANI !!
... leo nimejifunza kitu kipya. Tukiacha mbali dini, tuwatakie afya njema majeruhi na rehma kwa waliotangulia mbele ya haki no matter kiimani wako upande wetu au tofauti maana ubinadamu ni zaidi ya dini.
 
pye Chang shen

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
7,290
2,000
halafu mwandishi uwe unauliza Kama kitu hujui sio kuchukua tu Kama kiletwavyo
Hakuna hija kwa waislamu katika mji wowote isipokua makka tu
Hayo mengine ni uzushi tu wala si dini
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,533
2,000
halafu mwandishi uwe unauliza Kama kitu hujui sio kuchukua tu Kama kiletwavyo
Hakuna hija kwa waislamu katika mji wowote isipokua makka tu
Hayo mengine ni uzushi tu wala si dini
Kwani hao Washia wanaohiji huko Karbala sio waislamu? Mbona hata huko Makka na Madina pia wanaenda?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom