Mahudhurio ya Madame B yamepungua sana

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Tangu ampate Chimbuvu, mahudhurio ya huyu mdada Madame B yamepungua sana humu jf kwa zaidi ya asilimia 50. Nina wasiwasi na huyu jamaa kwamba pamoja na ukongoman wake atakuwa na asili ya uarabu ya kutowaruhusu wanawake kujichanganya. Au labda ni utimilifu wa ile methali isemayo atafutaye akipata hutulia. So madame b alitafuta humu jf akampata chimbuvu sasa ametulia. Au labda ameshaanza kula udongo na kutamani vitu vyenye uchachu uchachu.
 
una akili sana wewe,very observant,kula five mwanawane!
 
Mara ya mwisho kuwasiliana nae alikuwa Tanga kwenye arobaini. Ila kwa ninavyomjua yule hicho kimya kina mshindo mkubwa,akiibuka tu Chimbuvu katemwa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom