Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 639
- 1,532
Wale waliopata fursa ya kufuatilia mahubiri ya leo ya Mchungaji gwajima mtakubaliana na Mimi kwamba hizi nondo za Leo zilikuwa ni ujumbe mubashara Kwa waliomtuhumu kuhusika na madawa:
Nimejaribu kuiweka hapa video ya mahubiri yake imenishinda jinsi ya kuiweka"
Watakaoweza wataiweka;
A). Alitumia kitabu cha nabii Daniel alivozingiziwa na wateule Wa mfalme na kutupwa kwenye tundu la simba na kwakuwa hakuwa hakuwa na hatia nabii Daniel hakuliwa na simba, na baadae walio mtuhumu wakatupwa wao humo.
B). Alitumia hadidhi ya Yusuf mwenye maono alivyoibuka mshindi na waliomtuhumu wakaaibika.
C). Katumia hadithi ya Mungu Wa yakobo walivyoshinda Kwa kutupwa kwenye tanuru la moto na waliowatupa ndiyo walilambwa na ndimi za moto .
Gwajima wakati akimalizia mahubiri kaahidi wale woote waliomtuhumu siku si nyingi wataanguka...Jamaa Leo kabomoa nondo ile mbaya!
***MAJESHI MAJESHI MAJESHI***