Mugishagwe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2006
- 300
- 58
Mzee Mwanakijiji
Umekuwa unajitahidi kuleta habari hapa na kweli watu tumekuwa tunagoja utaleta nini .Nawe umekuwa mstari wa mbele kutueleza kinacho fuata ni jambo zuri sana .Lakinii umetushangaza kwa hatua na namna yako ya mahojiano na Sauper na leo Waziri wa Michezo .
Kwanza umeonyesha kutokuwa na confidence wakati unafanay mahojiano yako .Unaonekana kuwa muoga mno na kuyumba na kukufanya usielewe unachotaka kuuliza .
Umeonekana kuto jiandaa na maswali kwa Waziri na umepelekea watu kujiuliza kama ni wewe kweli ama ulikuwa na nia kweli ya kumhoji ama kuna kitu .
Mfano .Umeshindwa kumuuliza kwa nini ndege 2 zilianguka maana kama anapinga filamu ina maana ana data zote .Ndege 2 zimeanguka nadhani kwa ajili ya overloading lakin hujamuuliza hilo na ulimwacha anakuelemea an ukaonyesha kukubaliana naye na hivyo kupoteza mwelekeo wako mzima kama mwandishi .
Je wasiwasi wako kwa mujibu wa maswali yako ni Uhuru wa waandishi wa Habari tu ama hali halisi ya filamu ile ambayo imeelezwa na Sauper ?
Kwa nini hukumuuliza juu ya majibu ya Sauper kwamba Rais alidai kukimbiwa na mtu huyo lakini yeye alisema kwamba ni yeye ambaye alimwenda Rais na kumuuliza juu ya Filamu ambayo JK alijibu hajui na yeye akajiondokea na madai ya JK na Sauper si kweli kwa nini usiulize hili swali japokuwa yeye si JK lakin ndiyo washauri wa JK .
Je wao Wabunge kilicho wauma ni vibanda vya wavuvi pekee kwamba ndiyo inaonyeshwa kama Tanzania na si mambo mengine kweney filamu? Maana Sauper kwenye mahojiano yako kaeleza kwa nini kaleta ile filamu mbona hukutumia mwanya wa majibu ya Sauper kumuuliza haya ?
Nadhani kwa maoni yangu kama unakuwa hujajiandaa kumuuliza maswali mtu kama Waziri yule basi usimuulize maana unaondoa maana halisi ya sisi ambao tuko nyuma kujua yale ambayo yameshindikana .
Kwenye michezo pia amekujibu kisiasa mno na wewe umekubali hapa Mzee una kazi kubwa na utaanza kutufanya tusifuate mahojiano yako kama mwendo ni huu .