Mahojiano ya Zitto Kabwe na EA RADIO haya hapa , si ya kukosa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,567
217,914
- ZittoPress.jpg

Sitaongeza neno ili kuepusha mkanganyiko
 
Wewe una ushahidi wa kuthibitisha Zitto ni kibaraka wa mabeberu? Na aliyekwapua nyumba za Serikali, kununua uozo wa kivuko kwa billion 8, kukwapua 2.4 trillions na kuwadhulumu wakulima wa korosho pesa zao halali zaidi ya billioni 300 ni kibaraka wa nani!?

Sasa mbona ameshindwa kukanusha kwamba yeye ni kibaraka wa mabeberu!!
 
Sasa mbona ameshindwa kukanusha kwamba yeye ni kibaraka wa mabeberu!!
nishamgundua ZZK huwa ana puuza tuhuma zisizokuwz na mashiko. KM anasema ZZK ni kibaraka wa mabeberu, labda hatujiulizi siku hizi mabeberu ni akina nani?!? inawezekana kabisa ni sisi malofa wa nchi hii,maana wale mabeberu wa miaka ile ya propaganda sasa hivi ndio tunawakimbilia kuwaomba mikopo na misaada. ZZK said for may be two solid good years kwamba uchumi wa nchi yatu unashuka, akapingwa akaitwa mzushi na sheria za takwimu zikaundwa. lakini sasa leo mpka wote wanakiri GDP inashuka consequently uchumi in reality unashuka!!. inabidi tuwe wakweli kuitendea haki nchi hii.
 
Wewe una ushahidi wa kuthibitisha Zitto ni kibaraka wa mabeberu? Na aliyekwapua nyumba za Serikali, kununua uozo wa kivuko kwa billion 8, kukwapua 2.4 trillions na kuwadhulumu wakulima wa korosho pesa zao halali zaidi ya billioni 300 ni kibaraka wa nani!?
Bila shaka atakuwa kibaraka wa watanzania ndo maana anakwapua Trilioni 2.4 halafu mabombadier yanashuka akina Tundu wanatushtaki Canada kwa mabwana zao.
 
Back
Top Bottom