Mahojiano ya Rais Samia na BBC yataongeza maswali na sio majibu

Umehara tena. Katafute flagil
"Kweli hajahindwa kujibu swali. Ila hapa" hatujadili tuu amejibu swali au hakujibu. Tunachambua (critical analysis).

Hayo hapo juu ni maneno yako, huo uharo unakuonyesha iwapo Mbowe kakamatwa kisiasa ni kwa sababu anafanya jambo hatarishi kwa utawala wa ccm.

NIKUKUMBUSHE TU KUWA UNA MDOMO MCHAFU.
 
Noma sana ,mambo yaliyopo mahakamani anayuzungumza live kwenye chombo kikubwa kabisa bila wasiwasi.

"Teeth" wapo kimaslahi tu yao ya kupiga fedha na wanapiga "kweri kweri".
Wamemtisha mama kuwa asipowasikiliza 2025 arudi kwao......mama amekuwa msikilizaji ngomainachezwa eagle wings
 
Mimi nimepata majibu japo hatuombei iwe hivyo Mbowe hatorejea hivi karibuni uraiani, Chadema wajiandae kisaikolojia maana dialogue za kichama ni mpaka karibu n uchaguzi ndio zimeruhusiwa 2025.

Katibu kiongozi anapaswa kuongeza kasi ya utawala wa wasaidizi wafanye kazi yao ipasavyo kwani Mama anakuja na taarifa hafifu kama takwimu za ukuaji wa uchumi, vipengele vya sheria mama angefunika interview kwa kusema labda sheria yetu ya uchaguzi caps fulani inasema hakuna mikutano wala mijumuiko ya wananchama wa chama fulani na jezi zao.

Mama anagetumia pia platform ile kuelezea maendeleo ya miradi mikubwa ya mkakati, hali ya demokrasia, mipango ya muda mrefu ya afya kwa wananchi ikiwemo na uviko kwani mfano kupima uviko ni bei juu huku chanjo bure na mara akastuka akasema wasiwasi wake chanjo itakuwa haitoshi, chanjo serikali inagharamia mpaka lini na kama inakopa itakopa chanjo mpaka lini. Ajira zinapatiakanaje ilihali tozo zinazidi kuongezeka.
Hayo amekuachia wewe nanda bbc kayaeleze kwa kina
 
Interview ya Salim Kikeke na Samia jana imefanya mambo manne yafuatayo:

1.Imemfunua Samia ni nani,anataka nini na ana mpango wa kuifanyia nini Tanzania.Imemfunua kuwa ni dikteta muoga na asiejiamini.

2.Imemshusha Salim Kikeke kupindukia.

3.Imeumiza image ya BBC.

4.Imedhalilisha waandishi wa habari.
 
Huyu wazungu wameshamuona bogus, sio muda mrefu watampandikizia Cardiac Disease through technology na 2025 atakuwa unfit to run for office if she will still be alive.

She is wrongly trying to give the impression that the mission to liquidate her predecessor was done in vain something that would catapult to her. Time will perfect what I'm saying.
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Interview ya Salim Kikeke na Samia jana imefanya mambo manne yafuatayo:

1.Imemfunua Samia ni nani,anataka nini na ana mpango wa kuifanyia nini Tanzania.Imemfunua kuwa ni dikteta muoga na asiejiamini.

2.Imemshusha Salim Kikeke kupindukia.

3.Imeumiza image ya BBC.

4.Imedhalilisha waandishi wa habari.
Salim kikeke ni cyprian musiba anaefanya kazi BBC na kuishi london,akili zao ziko sawa kabisa
 
Back
Top Bottom