Mahojiano na Mheshimiwa Mhonga Said Rhuwanya - Viti Maalum CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahojiano na Mheshimiwa Mhonga Said Rhuwanya - Viti Maalum CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohammed Shossi, Jan 20, 2011.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mahojiano na Mheshimiwa Mhonga Said Rhuwanya - Viti Maalum CHADEMA
  [​IMG]
  Mheshimiwa Mhonga Said Rhuwanya ni mmoja wa wabunge vijana wanaokuja juu. Akiwa na umri wa miaka 26 aliwashangaza wengi alipochaguliwa na CHADEMA kuwa Mbunge Viti Maalum. Huko Bungeni amekuwa ni mmoja wa wabunge vijana walio makini na waliojikita kuikomboa nchi yetu Je Mheshimiwa Mhonga ametokea wapi? Ni sababu gani zilimfanya aingie kwenye siasa? Kwa nini alijiunga na CHADEMA?

  My take.

  Mimi sina matatizo na huyu mdada nampongeza sana kwa umri wake mdogo kuweza kuingia "mjengoni" tatizo linalonifanya nishindwe kuvumilia ni jinsi mwandishi alivyo mpamba
  Naomba kuuliza huo umakini aliuonyesha bunge hili au lililopita? Samahanini sana wana Chadema mie nadhani nitakuwa kero kwenu na kwa vyama vyote vya siasa maana mie sina chama naangalia falsafa ya mgombea anaenivutia na mwenye juhudi binafsi, huku nikisubiri muswada wa mgombea binafsi usaniwe na mheshimiwa Jakaya M. Kikwete.
   
 2. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Ingawa unasema hauna chama lakini mwelekeo wako unaweza kujionyesha kutokana na sired zako.

  As for Mhonga Said Rhuwanya performance yake 2005 - 2010 based on Uwazi Twaweza report;

  Basic Qn: 30
  Supp: 41
  Contributions: 74
  Total: 145
  Rank: 29 out of 267 MPs

  FYI, performance ya the so called "King maker" hii hapa

  Basic Qn: 0
  Supp: 0
  Contributions: 0
  Total: 0
  Rank: 267 out of 267 MPs

  Wangekuwa ndio wanao wamekuja na performance za aina hiyo toka shule: what is your take???
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160

  Kaka taratibu kama mtu hafahamu unampa ukweli "data" anafahamu mambo ya kutabiriana tuwaachie watabiri. Jibu lako zuri nimefurahi kwa fact uliyonipa na namtakia kila la kheri "mbunge wetu" kwa maana yeye ni viti maalum hawakilishi sehemu bali anatuwakilisha sisi sote.

  Nime edit ili niulize swali jingine samahani lakini kama nitakuwa nimekukera mkuu, hapo juu kwenye post ya awal ilisema
  Hiyo miaka 26 anayo sasa au alikuwa nayo 2005?

  Asante sana.
   
 4. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Sio utabiri kaka maana inahitaji elimu ndogo sana kutambua mahaba ya mtu yako upande gani.
  Nitakubaliana na mtu anayesema kuwa "Mimi si mwanachama wa chama chochote lakini shabiki/mpenzi wa chama fulani"!
  Ukisema huna chama wakati maandishi yako yanaonyesha mahaba yako, inakuwa ngumu kueleweka.

  Sasa kuhusu umri wa huyu dada sina hakika sana ila kama nakumbuka vizuri hiyo 26yrs ilikuwa 2005 wakati anaingia bungeni.
  Nikipata data zake za uhakika nitakudondoshea bila ajizi!
   
 5. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,161
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Kwa uhakika zaidi ungepata namba yake toka makao makuu ya chadema ukahojiana nae. Hii ingetupunguzia wingi wa thread zisizo na tija
   
 6. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaaa! Hilo nalo neno mkuu
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,866
  Likes Received: 11,982
  Trophy Points: 280
  Unatakiwa umpinge mwandishi kwa hoja si kwa neno moja tu 'napinga' sawa sawa hakiiiii asiyetaka haki........
   
Loading...