Mahojiano na Mh.Jussa – Wasaliti watupilia mbali hoja binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahojiano na Mh.Jussa – Wasaliti watupilia mbali hoja binafsi

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by abdulahsaf, Apr 5, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mahojiano na Mh.Jussa – Wasaliti watupilia mbali hoja binafsi | MZALENDO.NET


  Written by Mrfroasty (Ufundi) // 05/04/2011 // Habari, Sauti // 2 Comments

  [​IMG]
  Na Ally Saleh,
  Heka heka kuelekea mjadala wa katiba nchini tanzania zikiendelea na tayari kukiwa na malalamiko makubwa ya wanasiasa na taasisi za kijamii tanzania bara dhidi ya muswada wa serikali, sauti zimeanza kuzuka Zanzibar sio tu kuupinga muswada huo lakini pia kutaka Zanzibar iwe na sauti zaidi kwenye mjadala huo. Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe ismail jussa amesema Zanzibar lazima iwe na sauti yake kwenye maandalizi na hata kura ya maoni ijayo.
  Mh.Jussa hata hivyo amesikitika kuwa hoja yake binafasi aliyopeleka baraza la wawakilishi imetunguliwa ambapo alitaka kusaidia Zanzibar iwe na mkono imara na mwandishi wetu wa Zanzibar alimuuliza kwa nini hoja yke ilikataliwa na spika wa baraza hilo?
  Sikiliza mahojiano na Mh.Jussa:
   
Loading...