Mahojiano na Mama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Nuru Khalphan Kikwete...


Nimeipenda Interview... Mama anaonekana ana uelewa MZURI sana.... hasa alivyoongelea PILIPILI; That's cook and fantastic...
 
Tatizo lako nngu007, una haraka sana kutaka kuwahi kupost!!!!!!!!! hizo link mbona mgogoro kufunguka?

Wale waliooa au kuolewa kwenye ndoa za mitaala waangalie kwa kuwa anawapa mausia mazuri ya jinsi ya kuishi na wake wenza au wake wawili kwa kuwa yeye aliolewa akamkuta mama yake JMK ingawa sasa amefariki. Asema hawakuwa na wivu na walihudumiana vizuri. Sisi wengine ndoa ni ya mke /mume mmoja hadi afariki dunia. :smash:
 
Back
Top Bottom