Mahojiano na East Africa Radio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahojiano na East Africa Radio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 23, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  Nitapata nafasi ya kufanya mahojiano ya kina na East Africa Radio US kuanzia muda huu wa saa 12 jioni Jumapili: Join Me:
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona hakuna sehemu ya "listen live".....tutakusikia wapi sasa?
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  Mbona ipo mkuu.. au kwenye skype unaweza ukimpata Denzel Musumba
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nasikia muziki tu.....ndio hapo kwenye mahojiano au nibadili stesheni?
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Okay nakusikia sasa ukizungumzia ulipoanzia tokea mwaka '95
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  unanipata vizuri kabisa
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  CCM hawawezi kushinda tena kwa asilimia 80? Uuumm....we'll see come Oct. 31....
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Aug 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sipendi hawa wanaotamka Tanzania vibaya.....eti Ta-nze-nia....aaarrrggggg
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aaah hizo voice messages zinaboa sasa......hamkujiandaa ama?
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  siyo mimi...
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  MKJJ umejibu maswali vizuri, hongera
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Safi sana Mwanakijiji ila huyo wa mwisho aliyeongelea kuhusu wananchi ana share sentiments zangu...

  Na una bahati...nillitaka nikutwange na swali la CCJ sema tu nilikuwa nimekabwa na mambo mengine.....lol
   
 13. O

  Ogah JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hilo ni suala la chicken and egg NN, MKJJ alijibu vizuri ya kwamba viongozi wetu was iku hizi hawana UWEZO. Kumbuka kuwa CCM wana/meiba uwezo wa wananchi kuchagua kile wakipendacho kwa kutumia RUSHWA iliyojengwa na MAFISADI....damn
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Aug 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi nakataa. Hiyo hiyo rushwa inawasumbua sana wananchi kiasi kwamba hata haki wengine wananunua na wengine wanapoteza..yote haya ni kutokana na hiyo hiyo CCM wanayoipigia kura!!!!!

  Hebu jiulize mwenyewe Ogah....hizo mtu zinazoshona kwenye mikutano ya kampeni ya CCM ni nini hasa kinachowapeleka hapo? CCM wana nini cha kuvutia hadi wa attract umati mkubwa kama ilivyotokea Mwanza leo/ jana?

  CCM haistahili hata kupata kura moja. Miaka karibu 50 ya uhuru watu bado wanalala sakafuni mahospitalini na watoto kusomea chini ya miembe......kipi hapo kinachovutia?

  Halafu wala si viongozi wetu wa siku hizi tu. Hata zamani enzi za Nyerere bado watu walikuwa wanasomea kwenye vibanda. Mimi nakumbuka nimeanza shule ya msingi kulikuwa na uhaba wa madawati.....wenye uwezo walikuwa wanachongeshewa madawati na wazazi wao na wengine msio na uwezo aidha mnakalia matofali, magogo, au mnakaa chini sakafuni. Na hii ilikuwa wakati Nyerere bado yuko raisi.

  Hakuna tofauti kuuubwa sana ya kiuwezo baina ya viongozi wa sasa na wa zamani.
   
 15. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  =======

  Nayni Ngabu
  Tatizo la watanzania ni kubwa zaidi ya tunavyoweza kueleza. Ebu ona JK leo anawaambia watu Mwanza kuwa hakukataa kura za wafanyakazi na kesho hapatakuwa na chombo cha habari cha kumbamiza usoni na ushahidi wa aliyoyasema siku hiyo.
  Unaona utitiri wa wabunge wanaopita bila kupingwa kwa sababu tu eti mgombea wa upinzani amesahau kuandika tarehe kwenye fomu, au amewekewa sahihi na chama chake lakini hawakuweka muhuri. Haki ya watu kuchagua inaachwa mikononi mwa mtu mmoja aitwaye returning officer, mwajiriwa wa serikali inayogombea kurudi madarakani.
  Ebu gazeti la serikali Habari leo na Dailynews yanavyoshabikia CCM kuliko hata gazeti la uhuru.
  Inatia kichefuchefu.
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,380
  Trophy Points: 280
  NN.. ur missing a point.. ufisadi una faida; kuna watu wananufaika na mfumo uliopo sasa. Matajiri, wafanyabiashara wa kati na hata baadhi ya wabangaizaji ambao wananufaika "tajiri" anaponufaika. Hawa hawana interest ya kuubomoa mfumo wa utawala wakifisadi.
   
 17. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rafiki yangu mmoja amenipa taarifa kwamba jana katika mishemishe zake amepita maeneo fulani nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Wakati akisindikizwa na mwenyeji wake wakakutana na Mwenyekiti wa CCM wa mtaa wao, mwenyeji akamuuliza Mwenyekiti huyo: "Vipi safari hii mbona jezi hatujapata?" Mwenyekiti akajibu kwamba safari hii jezi zimekuja chache sana na zimeleta lawama kweli kweli. Rafiki yangu akataka kujua ni jezi gani hizo? Akaelezwa kwamba ni sare za CCM (t-shirt, kofia na vitambaa/skafu) ambazo wanachama hupewa wavae kwa masharti kwamba watabebwa kwenda kuhudhuria mikutano ya kampeni za CCM!

  Nakubaliana na hoja ya Mzee Mwanakijiji kwamba ufisadi una faida zake. Hizo jezi pamoja na vijishilingi wanavyopewa wanaohudhuria mikutano ya kampeni kama 'posho' ni matokeo ya ufisadi unaoendeshwa na CCM ili kupata watu wengi kwenye mikutano yao na hatimaye kura vilevile.
   
 18. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  well written and explained. Watu wamekazania kuponda JK tu. kama ni uozo wa CCM ulianza tangu kipindi cha nyerere kwani watu walikuwa na shida za kufa mtu, no shule za kutosha no dawati no zahanati ect na wala watu walikuwa hawaishi zaidi ya dola moja. Saas mijitu imekazania tu JK ameleta maisha mabovu, hilo hilo ukilibana toa tofauti ya maisha ya mtu wakawaida mfano kule kijijini kata ya Jk na watangulizi wake linaanza kumumunya maneno.
  what we need is to speak against whole period of CCM that will sound good, lakini kama ni kwa JK tu, mtafanya watu waone kuna kitu nyuma kimefichwa, na hasa yuma ya pazia la chadema.
   
 19. a

  arigold JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2014
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  acha kununa rudi
   
 20. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2014
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Denzel Masumba, habari yako kaka.
   
Loading...