Mahojiano Maalum kati ya Esther Wasira na Tanzania Daima Jumapili

Sio siri esther me nakukubabali tangu nikuone nkurumah..wewe nikichwa sasa uwe makini nawewe usije ukaendekeza njaa ukapewa hummer ukasahau shida zotee za dunia.maana wanambinu wanaweza kukupa rahaaa hadi chadema ukaisahau..ukawa nyoka wa ndimi mbili.
 
Congratulations to Easter. At the very early time in her life she has started to show the way to a number of young girls. A real role model of a girl of the time in Tanzania.
 
Huyu binti imeiva sana kisiasa. Inafaa kabisa muda ukifika, akachukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama Taifa au mwenyekiti alipeleke jina lake kwenye baraza kuu ili limchague kuwa katibu mkuu wa chama.
 
Ok kamanda Esther.. umezaliwa 1987 ukaanza std 1 mwaka 1992 _ukiwa na mika 5. sekondari 1999 hadi 2003 ulisoma mika mitano vipi form two ili_fail au ndo mambo zenu za english medium pre form one mwaka Mzima.

hebu weka takwimu sawa.
 
Ee Mwenyezi Mungu ninakuomba umlinde na kumtunza binti huyu Esther. Na utuongezee akina Esther wengine wengi. Sure, am hopping that freedom is coming soon tomorrow.
 
Congratulations to Easter. At the very early time in her life she has started to show the way to a number of young girls. A real role model of a girl of the time in Tanzania.

Niwe mkweli, da Esther umenifanya nitamani kuingia ulingoni. Baadhi ya Wanawake wanaotuongoza sio CHADEMA sio CCM, wanatuangusha. Pia wanasababisha Wanawake wengine na wenye uwezo wasiingie kwenye siasa. Aidha kwa kuwaoogopa au kuogopa mambo yao ya mipasho. Anyway Mungu akipenda.
Big up.
Queen Esther
 
hongera sana dada esther kwa majibu yako mazuri yenye akili ndani yake majibu yako yote yanaanza na neno wananchi kwanza kweli People's first its in your Blood.
 
Ok kamanda Esther.. umezaliwa 1987 ukaanza std 1 mwaka 1992 _ukiwa na mika 5. sekondari 1999 hadi 2003 ulisoma mika mitano vipi form two ili_fail au ndo mambo zenu za english medium pre form one mwaka Mzima.

hebu weka takwimu sawa.
si unajua loyola kuna mwaka mmoja wa pre form one?
 
Huyu binti imeiva sana kisiasa. Inafaa kabisa muda ukifika, akachukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama Taifa au mwenyekiti alipeleke jina lake kwenye baraza kuu ili limchague kuwa katibu mkuu wa chama.
Nafikiri aanze na nafasi kama mwenyekiti bawacha kwanza. Lakini naona kama hatatetereka ans future nzuri sana ya kisiasa
 
Niliwahi kumpigia Esther huko nyuma na hata kum text kuwa naheshimu sana mchango na msimamo wake. Ninaamini kuwa hatafanya makosa ya kiufundi anapoelekea kwenye mafanikio. Na kama akifanya makosa km ilivyo kawaida ya mwanadamu basi atajifunza haraka na kubeba changamoto hizo kwa faida yake na taifa hili kiujumla.
 
dada angu huyu ameukuna moyo wangu, anaongea as if ameshakuwa kwenye siasa miaka mingi na anajua hasa maisha ya mtanzania halisi na vizingiti vyake towards true development. big up sana dada endelea kujinoa na usikatishwe tamaa na watu wenye mawazo tofauti na wewe hiyo iwe ndo tool yako muhimu ya kukujenga zaidi

Asante sana Fpam, the best way is to focus on the road and where you are heading, not the sound of the cars passing on another lane.. Nashukuru sana..
 
Back
Top Bottom