Mahitaji yake nampa lakini yeye hataki kunipa

Kwani hadi sasa umetumia bei gani?
Nimelipia Kodi ya nyumba, chakula( nimenunua gunia moja la mchele kilo 100), Lakini yeye ana ndugu anakaa nao. Hela ya salon nampatia.... Jamani bado tu sisitahili kupata haki yangu?
 
Mkuu asante sana. Nimeamua nipunguze kumpatia hela ya matumizi.
Yaaah weee Fanya ivo ,,alafu usimpigie simu wala kutumia meseji ,, kauka.tuliiiiiii akikuanza kuchat chat alafu unamwambia baadae saizi nipo bize.

Yaaan unapaswa umuonyeshe yakua ,,licha yakwamba nmekulipia kodi ,,MIMI kwangu iyo nikitu kidogo....kwaiyo huo ukimya utamfikirishaa weeeee ,atahangaikaa kupata majibuuu weeee ,, siku moja atakula mzigo.

Piga kimyaaa piga kimya pigs kimyaaa ,, nakuambia wiki ijayo unakula mzigo .

Usisahau kuja kutupa feedback
 
Mkuu asante sana.... Haya ndio maneno yenye faraja niliyokuwa nayahitaji.

Ubarikiwe Boss.
 
Mkuu asante sana.... Haya ndio maneno yenye faraja niliyokuwa nayahitaji.

Ubarikiwe Boss.
Kuambiwa wiki ijayo utatenda dhambi ya uzinzi? Nakuhakikishia hiyo ni moja kati ya mifano mingi ya ahadi za chama kijani chetu. Hutopata kitu
 
Kuambiwa wiki ijayo utatenda dhambi ya uzinzi? Nakuhakikishia hiyo ni moja kati ya mifano mingi ya ahadi za chama kijani chetu. Hutopata kitu
Aaahhh acha kumwonea mwenzko wivu..

Kwan wee hugongan ??? Au akifanya mwingine ndo dhambi ??

OYA MKUUU WEEE FANYA IVO PIGA KIMYAAAA ,,TATIZO KESHAONA UNATOA.PESA YAKO SASA KICHWAN ANAWAZA IVI "" huyu hawezi kuniacha maana keshatumia hela yake kwaiyo atakubali kuvumilia ili mradi asitoke kapa """ NDO ANAVYOWAZA DEMU.

SASA WEWE KATA HUDUMA ,,FANYA MAMBONYAKO,, USIMSHOBOKEE,, AKIKUTAFUTA USIONGELEE HABAR ZA KUTIANA ,,JIFANYA UMEPOTEZEA KABISAAAA,, ALAFU YEYE ATAKUAMBIA MWENYEWEEE "" nmekumis nataka tukutane """ hapo UNAANDA VISU VYA KUMCHUNIA.

KUNA MMOJA JANA NMEMUOMBA KANIAMBIA NISUBIRI,,, LEO PIA NIKAMUOMBA KANIAMBIA NISUBIRI SIJUI MPAKA TAREHE KUMI NAKITU.

NIKAKATA SIMU NKAMTEXT ,, POA NMEAHIRISHA SITAKI TENA KAAA NAYO.

MPAKA MUDA HUU ANANITEXT KUNIBEMBELEZA ETI NISIAHIRISHE OOHHH POROJO NYINGI ...ILA KWELI NMEAHIRISHA SITAKAGI USWAHILI ,,WAKAT WAPO WENGI.
 
Mkuu wewe mwache siku atakapojua thamani yako Ataenda mwenyewe dukani atanunua dawa ya panya atakunywa halaf atakufa.
 
Vere simpo! Mtafute popote alipo, nenda na kisu chako ikate then ondoka nayo ukaifaidi
 
Back
Top Bottom