Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,761
- 2,311
Habar ndugu na marafiki wa JF
Leo nataka tudadavue kuhusu nafaka pendwa ya kiamerica iliyoletwa miaka ya 1500AD, nayo ni mahindi. Hili zao ni mahususi sana kwa chakula cha mifugo mfano kuku, ng'ombe, mbuzi na wanyama wengineo. Zao hili lilijipatia nguvu sana na kuwa kama chakula tegemezi africa miaka ya 1600.
Manufaa ya mahindi yamekuwa na umuhimu sababu watu wa America walitushawishi na tukashikika vilivyo kuachana na milo yetu ya asili na kukamatia kitu cha nguna(ugali), kande na mbonoso(mahindi ya kuchoma) tukasahau kabisa milo tuliyokuwa tukitumia
Hivyo kutupelekea udumavu wa misuli, akili mpaka afya. Tuna mamia ya miaka tuko kwenye shuhuli ya nguna na nguna tunafaham vilee inatufanya tuwe vituko kila kukicha ni hayo tuu kwa anaeongezea mengine aongeze.