Mahesabu ya Zitto na wapambe wake yamekwenda kombo -- namsikitikia sana!

Erwin Rommel

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
429
115

Leo ni takriban siku ya 12 tangu Zitto na wenzake wavuliwe uongozi Chadema kutokana na usaliti walioukiri.

Hadi leo sijaona mtikisiko wowote (nasema mtikisiko) kwa chama hicho nchini kuhusu kupinga hatua hii ya kamati kuu ya CDM, zaidi ya kelele na matusi humu JF, kelele ambazo naamini kwamba kwa asilimia kubwa zatoka CCM., pamoja na kutoka kwa akina Fyonza na wasaliti wenzake.

Support kubwa anayopata Zitto ni katika magazeti ya Uhuru, Habari Leo na Daily News, kitu ambacho ilimpaswa kujiuliza vipi?

Nilitarajia katika siku hizo 11 yafuatayo yangetokea:

1. Maandamano makubwa ya wana CDM - hata katika asilimia 40 ya mikoa yote (au aslimia 40 ya wilaya zote) kumsupport Zitto. Hilo halijatokea., na pia Zitto ajiulize kwa nini.

2. Mlolongo wa kujiuzulu kwa viongozi wakuu wa CDM – hata kwa silimia 20 tu (kamati kuu, wenyeviti mikoa etc). Hilo pia halijatokea na Zitto inapaswa ajiulize kwa nini.

Ama kweli Zitto kwishney – mahesabu yake yamemuumbua sana! Na wanaomtetea CCM wamepatikana kwa hili kwani ‘watu wao’ katika CDM wametimuliwa na ndiyo maana wanasononeka sana.

___
 
Leo ni takriban siku ya 12 tangu Zitto na wenzake wavuliwe uongozi Chadema kutokana na usaliti walioukiri.

Hadi leo sijaona mtikisiko wowote (nasema mtikisiko) kwa chama hicho nchini kuhusu kupinga hatua hii ya kamati kuu ya CDM, zaidi ya kelele na matusi humu JF, kelele ambazo naamini kwamba kwa asilimia kubwa zatoka CCM., pamoja na kutoka kwa akina Fyonza na wasaliti wenzake.

Support kubwa anayopata Zitto ni katika magazeti ya Uhuru, Habari Leo na Daily News, kitu ambacho ilimpaswa kujiuliza vipi?

Nilitarajia katika siku hizo 11 yafuatayo yangetokea:

1.Maandamano makubwa ya wana CDM - hata katika asilimia 40 ya mikoa yote (au aslimia 40 ya wilaya zote) kumsupport Zitto. Hilo halijatokea., na pia Zitto ajiulize kwa nini.

2.Mlolongo wa kujiuzulu kwa viongozi wakuu wa CDM – hata kwa silimia 20 tu (kamati kuu, wenyeviti mikoa etc). Hilo pia halijatokea na Zitto inapaswa ajiulize kwa nini.

Ama kweli Zitto kwishney – mahesabu yake yamemuumbua sana! Na wanaomtetea CCM wamepatikana kwa hili kwani ‘watu wao' katika CDM wametimuliwa na ndiyo maana wanasononeka sana.

___

Uhuru, mzalendo is understandable, sasa daily news, habari leo (magazeti ya serikali) wapi na wapi na CDM/Zitto. Kweli njaa mbaya ya wahariri wa magazeti haya!
 
Wamebakia wahiriri makanjanja walionunuliwa kama nyama za buchani ndo wamebaki kujifaragua na habari za kumpa sifa za kijinga
 
Leo nimefarijika sana baada ya kumkuta kamanda mmoja katika kijiji fulani karibu na msoga amekaa na wazee kama 30 na akina mama kadhaa
anawapa elimu ya uraia!kabla nilijua shughuli za chama zimesimama kutokana na hili saga.
 
Huna haja ya kukimbilia Kuchamba wakati hujamaliza Kunya, Ngoma ndo kwanza imeanza, Kuimarika au kuyumba kwa Chama hakupimwi kwa watu kujiuzulu au wingi wa Thread, Hata Mbowe anatamani watu wa Zitto wajiuzulu au wajitokeze kupinga hadharani ili wafukuzwe sasa PENGINE wameshauriwa wabakie Chamani hakuna Anaeweza kutabiri matokeo ya Mpambano, Uamuz wa kuwatimua wanaomkosoa/kumpinga Mbowe ni ushindi Mkubwa sana kwa CCM japo ni ngumu kuamini kwa sasa, Maana hata mikoani kila kiongoz anajipendekeza kwa Mbowe ili asiitwe Msaliti ila huwez kujua Dhamira na nafsi zao kwa Mbowe, Hata kama mnadhani mmeshinda msiwa Undermine sana kwa kiwango hicho !!
 
Ukibaraka unanzia kwa mtu mwenyewe na ndio maana wanaoshababia ni wenzake. Huyo ni kama mrema. Na huo ni uwehu inabidi abadilike.
 
Kama chama kwa umoja wetu bila kujali dini, kabila, kanda, rangi wala jinsia tumekaa tukapanga namna ya kuikabili ccm iliyokuwa tayari imepenyeza mamluki wake wakiongozwa na Zitto,

Tulijiandaa sana kwaumoja wetu na sasa tunayafutahia matunda ya ushindi kimkakati,

Nawahakikishieni wanachadema kuwa kwakutumia ummoja wetu kama tulivyowashinda sasa hivi basi na 2015 tutashinda kwakishindo kulikomboa taifa letu.
 
Wamebakia wahiriri makanjanja walionunuliwa kama nyama za buchani ndo wamebaki kujifaragua na habari za kumpa sifa za kijinga

Sure! Na matamko yanayotolewa na masaliti wachache wengine waliobaki katika CDM wenye tamaa za fedha. Mara utasikia tamko la mwenyekiti wa matawi wa mkoa, mara mwenyekiti wa majani wa wailaya, ili mradi ni kuweweseka tu kuona mtu wao kwisha!

Ngoma imeisha Zitto! Orodha yako ya vigogo wa CCM wenye fedha Uswisi kaichome moto - makamanda wetu watapata orodha yao na kuimwaga hadharani kama walivyofanya Mwembe Yanga 2007.

Isitoshe hiyo orodha yako kumbe ulishinikizwa na mafisadi wa CCM kubadilisha mada -- eti sasa ina vigogo wote wenye fedha katika mabenki nje na nyumba huko nje -- ili tu eti umuingize Mbowe humo!

Ile orodha ya awali ya vigogo wa serikali ya CCM waliofunguliwa akaunti Uswisi na makampuni ya uchimbaji gesi na mafuta na kuwekewa mabilioni iko wapi? Acha kutumiwa wewe!!!
 
Siku nikipata taarifa ya kufukuzwa kwake rasmi nitaenda kuadhimishia xmass Canada.
 
Kama chama kwa umoja wetu bila kujali dini, kabila, kanda, rangi wala jinsia tumekaa tukapanga namna ya kuikabili ccm iliyokuwa tayari imepenyeza mamluki wake wakiongozwa na Zitto,

Tulijiandaa sana kwaumoja wetu na sasa tunayafutahia matunda ya ushindi kimkakati,

Nawahakikishieni wanachadema kuwa kwakutumia ummoja wetu kama tulivyowashinda sasa hivi basi na 2015 tutashinda kwakishindo kulikomboa taifa letu.

kaka ujasikia leo TAMKO la M-KITI WA MATAWI YOTE YA CDM MWANZA alivyosema ???
i went back online to look for such position i cpuldn't it find it, can i get your intake on this please ??
 
Kama chama kwa umoja wetu bila kujali dini, kabila, kanda, rangi wala jinsia tumekaa tukapanga namna ya kuikabili ccm iliyokuwa tayari imepenyeza mamluki wake wakiongozwa na Zitto,

Tulijiandaa sana kwaumoja wetu na sasa tunayafutahia matunda ya ushindi kimkakati,

Nawahakikishieni wanachadema kuwa kwakutumia ummoja wetu kama tulivyowashinda sasa hivi basi na 2015 tutashinda kwakishindo kulikomboa taifa letu.

Tunasubiri siku 14 ziishe
 
Hizo zinaitwa ndoto za alinacha.
Huo umoja sasa hivi hamna.! Sembuse 2015?
Nyie mtapiga chini vibaya mno. Na aibu itawakuta 2015.
Mnashindwa ku organise mambo ndani ya chama chenu, mnapigana majungu na kuleteana unafiki mumo kwa mumo.
Leo hii unaleta hadithi za umoja??

We ndio wakuja kweli wewe!

Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Zitto utamuua Padri babu kwa presha. ona vifaranga wake wanavyohangaika huku.
 
Last edited by a moderator:
Zitto na ujanja wake wote anakubali kurubuniwa na kuolewa na Mwigulu Nchemba. Ama kweli fedha fedheha!
 
Back
Top Bottom