Mahesabu ya kijasusi yanakataa kwa 51% kuwa Serikali inahusika na shambulio la Lissu

Mbona umesahau umafioso ambao pia uko inside chadema!, umaarufu wa Lisu unawakosesha raha wagombea uraisi watarajiwa waliomo humo hivyo usitegemee kuna wanao mfurahia. Lazima wamzime ili agenda zao zitimie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takriban wiki moja sasa tokea tukio la Mbunge wa singida masharika na Rais wa TLS Mh.Tundu Lissu kupigwa risasi ambazo zilikuwa na mlengo wa kumuua.Baada ya tukio hilo yenye sura ya assasination kufanyika mengi yamezungumzwa ,kuchambuliwa na lawama kutolewa.

Ikumbukwe Mh.Lissu katika moja ya press conference zake alitanabaisha wazi mbele ya vyombo vya habari kuwa anafuatiliwa na gari na ujumbe huo ulikuwa unamlenga mkuu wa idara ya usalama wa Taifa Bwana kapilima na IGP Sirro .Tukio la Lissu inahusishwa kwa asilimia kubwa na Regime iliyopo madarakani na wengi wanasema Rais wa JMT na wasaidizi wake hawana la kukwepa pia ndugu Salum mwalim wa Chadema anasema Lissu hakuwa na maadui nje tukio hili ni wazi serikali inahusika 100%

1.Mahesabu za kijasusi zinakataa kwa asilimia 51 kuwa Rais na wasaidizi wake wanahusika na shambulio la Lissu.Tukumbuke hivi karibuni kumekuwa na joto kubwa la kisiasa kati ya Lissu na Rais huku Mh.Lissu akionekana ni mkosoaji kwa mambo anayoyafanya Mh.Rais katika sehemu nyingi huku kukiwa na lugha za kejeli ,vijembe baina ya viongozi hawa wawili ,upande wa Lissu akimuita Mh.Rais Dictator uchwara na akimkosoa kwa karibia kila jambo analofanya na pia upande wa Mh.Rais amekuwa akimtupia vijembe Lissu katika kila nafasi anayoipata kuzungumza na vyombo vya habari ni wazi mpambano wa Rais na Lissu ulikuwa mkubwa ..Je Rais anaweza kufanya jambo reckless kama hili sababu jambo lolote ovu la kumpata Lissu basi wa kwanza kutizamwa ni regime sababu ndio wamekuwa na mgogoro na Lissu kwa nyakati za hivi karibuni sidhani kama Rais ,washauri wake wanaweza kufanya jambo la kipuuzi kama hili..ingekuwa tukio hili limempata Mbatia au Mnyika serikali ingeweza isilaumiwe sana na mashaka yangekuwepo lakini kwa Lissu hakuepukiki serikali ingehusishwa kwa asilimia kubwa.

2.Kama kweli wangekuwa na nia ya kumuua Lissu God forbid kama wengi wanavyodhani sababu Lissu alikuwa kama obstacle jiwe kwenye tundu la karo hivyo kuchelewesha maji kupita basi wangetumia njia ambayo isingeacha alama na ingewia vigumu kuitupia lawama regime na ingepunguza maneno,lawama kwa regime na wananchi walio wengi ambao ndio wapiga kura wasingekuwa na doubts na utawala huu sasa kwanini watumie njia ambayo itasababisha lawama,suspect wa mwanzo na maneno ziutupie serikali ya JPM ambayo itatia doa mazuri yake na kumchafulia kuelekea 2020.Njia iliyotumika kumshambulia Lissu hutumika kwa nchi ambazo huongozwa kifalme,kijeshi na hakuna democracy.

i)Serikali ingeweza kutumia sumu ya polonium, wangeweza kunyunyuzia kwenye kinywaji,chakula chake na hafla ngapi hufanyika bungeni ? Na kwakuwa Mh huyu hakuwa more cautious sababu hakuwa na wasiwasi kama atakuja kuzuriwa hivyo ingekuwa rahisi kummaliza kwa polonium kama tulivyoona wapinzani urusi wakimalizwa kwa polonium au wangeweza kuweka sulphur kwenye mic tu na hio ingemmaliza ..sasa iweje serikali itumie njia ya physical ambayo obviously wangetuhumiwa wao 100% kwa namna walivyokuwa na record ya kuwakamata wapinzani na kuwafunga badala ya njia zingine ambayo wana uwezo nao na vigumu kuacha alama.

ii) Au wangetengeneza ajali tu na kufanikisha assassination yao na wangeepuka lawama na doa lakini tukio la juzi lina mashaka na sababu tayari mkuu wa idara wa usalama wa Taifa na mkuu wa police waliambiwa mbele ya camera huku mamilioni ya wananchi wakiwa mashahidi kama kweli wao ndio waliratibu mission basi watakua wapuuzi kama wangeendeleza na kulifanya sababu kutajwa tu siku ile tayari mission ingekuwa imefeli.

2.Ndugu Salum mwalimu anasema hakuna yeyote nje ya siasa anaweza kumzuru Lissu hapa aliegemea kwamba 100% ni regime ya Magufuli ,kweli suspect namba moja ni serikali hii lakini ni kosa kusema 100% labda nimkumbushe bwana Salum Mwalimu kuwa Mh Lissu kwa mara kadhaa amekuwa akimkebehi,kumdhalilisha na kumsemea mbovu Rais wa Rwanda Mh.Kagame, kwa nyakati tofauti Lissu amesikika akisema Generali Kagame ni dictator na akiwa anamsema Rais jpm basi reference zake huwa anasema kama generali Kagame.Hebu turudi nyuma miaka kadhaa nyuma kulitokea mauaji ya kutatanisha ya Jwani Mwaikusa na Mtikila na wapo wanaosema mauaji haya yana mkono wa Kagame japo hakuna ushahidi thabiti ila habari hizi zipo na kuhusu Mtikila alijenga uadui na Kagame kwa kuingilia masuala ya Rwanda na kumnanga Kagame na mwisho wa siku akafa kifo cha kutatanisha..sasa inajulikana kwamba Kagame hapendi kubughudhiwa na Lissu amekuwa akimnanga sana Kagame huenda waliomua walikuwa spies wake na tetesi zinasema kuna mfanyabiashara mmoja mkubwa ambaye ni spy mkubwa ndiye aliyetumiwa kumuondoa Mtikila japo ni tetesi...hii ni assumption na hoja kurefute hoja ya Salum mwalimu hivyo sio accurate kwa asilimia zote

Nani anahusika sasa

A.inajulikana ndani ya serikali ya JPM kuna makundi wapo wazalendo kwa JPM pia wapo wapinzani wake kutokana na hulka,mwenendo na tabia ya Mh Rais sasa ili kumdhoofisha Rais huyu wameamua kufanya mission hio kutia dosari utawala wa Rais

2.Radicals ndani ya vyombo vya usalama ,tumeona namna Lissu akitungiwa majina kuwa sio mzalendo ,anatetea mabepari sasa huenda misimamo hii imewaingia baadhi ya wasaidizi na hivyo ku plot mission hio kwa siri bila ya ridhaa ya yeyote.

C.Huenda wapinzani wa Magufuli ndani ya ccm ndio wamepanga ili kumtia DOA na kumchafua Rais kuelekea mbio za uchaguzi wa 2020

D.Huenda ikawa ni janja ya mafisadi kutafuta mbinu ya kummaliza Rais huyu asiweze kupata imani na wapiga kura sababu amekuwa kikwazo kwa wengi na njia ya kumzuia asiendelee kuwepo awamu nyingine ni kumchafua

E.Huenda wakawa maadui wengine aidha alikuwa na mzozo ,ugomvi na mtu au Taasisi nk..

F.Huenda ikawa ni serikali na waliratibu kumuua sababu ya wao wanazozijua lakini Nina mashaka sana sababu siku Lissu alipowataja Kapilima na Sirro basi tayari officially mission ingekufa na kama kweli wamehusika basi itakuwa jaribio la mauaji la kipuuzi
G. Huenda Ikawa ndani ya CDM yenyewe, as the guy is currently a prime vocal ndani ya CDM, and it look like a redeemer to this political party. Who knows, it might be Chachawangwe style, but it is hard to connect dots.
 
mkuu, ndiyo maana imefanyika ki-armature ili watu wasio na deep thinking wawe na mtizamo kama wako.

kwa mazingira yaliyokuwepo kabla ya shooting incident, endapo baadae ingetokea Lissu akapotezwa "ki-professional", wala kusingekuwa hata na huu mjadala unaoendelea sasa kwani ingekuwa ni foregone conclusion muhusika halisi ni nani. consequences zingekuwa immediate, damaging and extremely overwhelming.

so...what might have happened? tekeleza mpango kwa kutumia mbinu za kienyeji (armature-esque) ili watu waone kuwa "mbinu iliyotumika ni dhaifu mno na kuwa haiwezi kuwa imefanywa na taasisi"!

hii kitu kwenye mambo ya criminology inaitwa "alibi". kuna movie moja ya longi inaitwa "Basic Instincts"...utamuona humo bibie Sharon Stone aki-act kama crime fiction writer. watch it mkuu - ipo online - utaelewa maana ya "alibi".
 
nona ulikuwa unataka japo na ww uongee kitu juu ya hili suala...sawa tumekusikia.
 
Back
Top Bottom