Mahenge na Kilimo cha ufuta, wenyeji tafadhari msaada tutani

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,879
4,879
Wakuu kwanza salamu ndiyo utanzania wenyewe... Popote ulipo nakusalimu.

Back to the topic

Kwa wenyeji wa Mahenge wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro naomba mnisaidie hii kwa mtu mwenye experience. Nimepata shamba kijiji cja CHIKUTI kilichopo nje kidogo ya Mahenge mjini, kuna mtu amenishauri kwamba nilime ufuta kwaba una kubali sana maeneo hayo. Nikaona si vibaya nije kuongezea maarifa humu hasa kwa wenye uzoefu na eneo hilo na upatikanaji wa soko ukoje...

Karibuni sana
 
Mkuu tujuzane ulipataje shamba huko?
 
Aisee ukipata ushauri mzuri hebu na mimi nitonye kidogo,maana nina viji shamba sehemu mbili maeneo ya mwaya, chilombola na chiwalanga,nilipanga nipige mpunga na maharage sasa naona hii ishu ya ufuta huenda ikatutoa safari hii.
 
Back
Top Bottom