Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,879
- 4,880
Wakuu kwanza salamu ndiyo utanzania wenyewe... Popote ulipo nakusalimu.
Back to the topic
Kwa wenyeji wa Mahenge wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro naomba mnisaidie hii kwa mtu mwenye experience. Nimepata shamba kijiji cja CHIKUTI kilichopo nje kidogo ya Mahenge mjini, kuna mtu amenishauri kwamba nilime ufuta kwaba una kubali sana maeneo hayo. Nikaona si vibaya nije kuongezea maarifa humu hasa kwa wenye uzoefu na eneo hilo na upatikanaji wa soko ukoje...
Karibuni sana