Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Maheeda, staa ambaye anasifika kuongoza katika sanaa ya kupiga picha za utupu amewashangaza wengi kwa mara nyingine. Kupitia kwa mtandao, staa huyu wa injili aliamua kusherehekea krismasi kwa mtindo wake tofauti. Mtindo wa kilaana.
Cheki video aliyoisambaza hapa>>>Maheeda Atoa Video Ya Utata Ya Krismasi - bkuHABARI
Cheki video aliyoisambaza hapa>>>Maheeda Atoa Video Ya Utata Ya Krismasi - bkuHABARI