Mahathir Muhammad wa Malaysia alivyomjibu Mkapa baada ya kuombwa ushauri

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Mahathir Muhammad aliyekuwa Rais wa Malaysia na ambaye sera zake zimeifanya Malaysia kuendelea vilivyo aliombwa ushauri na Rais Mkapa (alipokuwa Rais) juu ya siri ya Malaysia kuendelea ili na sisi tupewe hiyo dawa waliyotumia Malaysia.

Jibu la Mhathir lilikuwa very simple: ''Anzisha sera inayoeleweka ya kilimo, Lisha raia wako na muwe na reserve kubwa ya Chakula kwanza kisha mengine yatafuata''

well of course kama mjuavyo

jambo la kwanza mawaziri waandamizi (Mary Nagu na wengine) walitekeleza hilo kwa kupiga marufuku kiwanda cha mbolea kisijengwe Mtwara ili kulinda maslahi ya wanaoagiza mbolea toka nje ya nchi

jambo la pili Tumekuja na sera ya kilimo kwanza mabyo ni sawa na kilimo mwisho...ma trekta mabovu toka India yameletwa na sasa yanaoza kule JKT

jambo la tatu tumeamua kumtegemea Mungu kwenye kilimo...atuletee mvua ndio tunafurahi na tumeogopa hata kuanzisha kilimo cha umwagiliaji toka ziwa victoria kisa? tunaogopa kupigwa na Misri.

Leo hii tunanyanyasika kuomba omba toka kwa hisani ili watusaidie chakula. Mpaka ngano tunaagiza toka nje.
 
na ukitazama ncho yoyote ambayo haiombi chakula nje inavyokuwa Jeuri

sisi kila kukicha na bakuli

Imagine nchikama Nigeria mtu kama waziri Mary Nagu angeshughulikiwa vipi
 
Ukiwa rais wa nchi sidhani kama unahitaji kuuliza,
nini kifanyike ili kujenga uchumi imara nchini kwako?

Chakula cha kutosheleza nchi nzima ni namba moja.
Kilimo cha matrekta ni muhimu,
Maghala ni muhimu,
Viwanda vidogo vidogo vya kusindika vyakula,
ni muhimu.

Mfumo imara wa distribution ni muhimu.

Huhitaji PhD kujua hili.

Ukiwa rais wa nchi unahitaji kuongozana na,
Maengineer,
Madakatari,
Wataalamu wa kilimo,
Wachumi,
na wasome waliokubuhu,
kwa nia ya kuwapa exposure huko ugenini,
ili kesho usitie aibu kwa kudhani kuna hirizi ya maendeleo.
 
na ukitazama ncho yoyote ambayo haiombi chakula nje inavyokuwa Jeuri

sisi kila kukicha na bakuli

Imagine nchikama Nigeria mtu kama waziri Mary Nagu angeshughulikiwa vipi
Ungeacha kumtaja Mary Nagu post yako ingeleta maana. Ila kuna thread nyingine umeanzisha ya kumhusu Mary Nagu na huo mradi wa mbolea.kwa vyovyote v ile food security ni muhimu, ila kuna kila dalili una maslahi kwenye kiwanda hiki cha mbolea huko Mtwara@ wimbi la Mbele!
 
Mahathir Muhammad aliyekuwa Rais wa Malaysia na ambaye sera zake zimeifanya Malaysia kuendelea vilivyo aliombwa ushauri na Rais Mkapa (alipokuwa Rais) juu ya siri ya Malaysia kuendelea ili na sisi tupewe hiyo dawa waliyotumia Malaysia.

Jibu la Mhathir lilikuwa very simple: ''Anzisha sera inayoeleweka ya kilimo, Lisha raia wako na muwe na reserve kubwa ya Chakula kwanza kisha mengine yatafuata''

well of course kama mjuavyo

jambo la kwanza mawaziri waandamizi (Mary Nagu na wengine) walitekeleza hilo kwa kupiga marufuku kiwanda cha mbolea kisijengwe Mtwara ili kulinda maslahi ya wanaoagiza mbolea toka nje ya nchi

jambo la pili Tumekuja na sera ya kilimo kwanza mabyo ni sawa na kilimo mwisho...ma trekta mabovu toka India yameletwa na sasa yanaoza kule JKT

jambo la tatu tumeamua kumtegemea Mungu kwenye kilimo...atuletee mvua ndio tunafurahi na tumeogopa hata kuanzisha kilimo cha umwagiliaji toka ziwa victoria kisa? tunaogopa kupigwa na Misri.

Leo hii tunanyanyasika kuomba omba toka kwa hisani ili watusaidie chakula. Mpaka ngano tunaagiza toka nje.
nchi hii bora tusingepata uhuru tuu! hata nyerere alipoombwa na wa Israel kuchimba mfereji kutoka ziwa victoria kuja Dododma ili kilimo cha umwagiliaji maji kishamiri, aliogopa misri eti mto Nile utakauka! sasa angalia nani anasota kati ya sisi na misri?
 
Ungeacha kumtaja Mary Nagu post yako ingeleta maana. Ila kuna thread nyingine umeanzisha ya kumhusu Mary Nagu na huo mradi wa mbolea.kwa vyovyote v ile food security ni muhimu, ila kuna kila dalili una maslahi kwenye kiwanda hiki cha mbolea huko Mtwara@ wimbi la Mbele!

Ni sawa na kujadili matatizo ya Nishati Tanzania bila kutaja wahusika wakuu kwenye sakata la umeme

Issue hapa ni waziri kupiga vita kiwanda huku waziri huyo huyo anawaambia wawekezaji waje kuwekeza kwenye kilimo

mimi sina interest na hicho kiwanda lakini nina interest na haya mambo ya sera ya kilimo.
 
Mahathir Muhammad aliyekuwa Rais wa Malaysia na ambaye sera zake zimeifanya Malaysia kuendelea vilivyo aliombwa ushauri na Rais Mkapa (alipokuwa Rais) juu ya siri ya Malaysia kuendelea ili na sisi tupewe hiyo dawa waliyotumia Malaysia.

Jibu la Mhathir lilikuwa very simple: ''Anzisha sera inayoeleweka ya kilimo, Lisha raia wako na muwe na reserve kubwa ya Chakula kwanza kisha mengine yatafuata''

well of course kama mjuavyo

jambo la kwanza mawaziri waandamizi (Mary Nagu na wengine) walitekeleza hilo kwa kupiga marufuku kiwanda cha mbolea kisijengwe Mtwara ili kulinda maslahi ya wanaoagiza mbolea toka nje ya nchi

jambo la pili Tumekuja na sera ya kilimo kwanza mabyo ni sawa na kilimo mwisho...ma trekta mabovu toka India yameletwa na sasa yanaoza kule JKT

jambo la tatu tumeamua kumtegemea Mungu kwenye kilimo...atuletee mvua ndio tunafurahi na tumeogopa hata kuanzisha kilimo cha umwagiliaji toka ziwa victoria kisa? tunaogopa kupigwa na Misri.

Leo hii tunanyanyasika kuomba omba toka kwa hisani ili watusaidie chakula. Mpaka ngano tunaagiza toka nje.

Hapo ndipo huwa namuona Lowassa shujaaa.
 
Miaka ya 1995-2000, Prof. Mlambiti aliishauri serikali iboreshe miundombinu kwanza ili ichochee uzalishaji wa chakula na kukisambaza. Huwezi amini hata pembejeo hazifiki kwa wakati mashambani. Vilevile kutokana na ubovu wa miundombinu, gharama za pembejeo na chakula zinakuwa juu sana. Tumeshuhudia maranyingi mazao yakiharibika njiani. Mkulima na mlaji wamekuwa wakibebeshwa zigo la uzembehuu na watu wa kati. Serikali imejitoa hata kwenye hifadhhi (Maghala ya Taifa), ili kudhibiti bei hasa ya nafaka. Ruzuku kwenye pembejeo zimekuwa deal za kutengeneza pesa za wakubwa na wahuni waliopewa tenda hizo. Wanaorodhesha mahitaji mengi kuliko wanavyosambaza kwa kula njama na watendaji hivyo wanalipwa pesa nyingi za bure (hii ndiyo ilipelekea kuanzishwa kwa vocha system ambayo nayo wameichakachua pia), Wanapunguza ujazo wa mifuko ya Mbolea na kuishona upya, wanasafirisha kwenda kuuza nchi za jirani (Mfano: Malawi, Zambia) na kujipatia faida kubwa, hakuna jitihada za kusambaza wataalamu wa ugani kwenye mikoa inayozalisha nafaka kwa wingi maana sasa ardhi yao imechoka na hawajaelimishwa cha kufanya ili kurejesha rutuba. Wazo la KILIMO KWANZA limeshikiliwa na wafanyabiashara zaidi bila kuhusisha wadau wa kilimo toka njanya mbalimbali. Kuna wataalamu wa Kilimo toka SUA (Dr. Gabagambi na Dr. Mganilwa) ambao waliwashauri mengi kuhusu mambo ya muhimu yatakayoleta tija kwenye kilimo kwanza wakawapuuza, sasa wameleta matoi ya power tiller ambazo haziwezi hata kulima Dar kwenye udongo wa kichanga. Kuna mengi ya kueleza ila napata hasira nikiyawaza hapa.

Kwakifupi naweza kusema, nchi hii inapuuza sana wataalamu na kusamini wanasiasa tena kwa kuegemea chama tawala. Hili linazidi kutuangamiza na hawa wenye dhamana wamefumba mamcho huku wakituambia bila kumung'unya mamneno kwamba "LIWALO NA LIWE".
 
raisi kigeugeu, udini kigeugeu..watz vgeugeu......kilmo kwanz z nt a nt strategy' klmo kwanza ni slogan tu kama isemayo kidumu chama cha mapnduz, nguvu mpya kasi mpya, maisha bora kwa kla mtz
 
Back
Top Bottom