Maharusi ndani ya bajaji: Kupanga ni Kuchagua

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
4651469_photogrid1482581533396_jpeg398e5f4edbc25e315bb16b226184acb6

4651476_photogrid1482581626767_jpeg973e8c9f28202e47964e3ec9668cce6b

4651453_photogrid1482581427573_jpegc08c80e100fd4c97d324415164f08782
 
4651022_nakip_jpeg085ec750712f32d8e4c20bc517ec1590

4651023_nakip1_jpeg8547b9521d285ad948e9bc7e467a7e59

4651024_nakip2_jpeg8a556322fff21e5715d27da5207de1ad

hapa uganda, bibi harusi akitembea kwa miguu kwenda kanisani kutokana na ukata wa fweza
 
Kule kitandani mtavua Nguo zote pengine hata shuka mtatupia kule, sasa kwanini muongeze mbwembwe kwenye ndoa??
 
Safi sana - kila mmoja na uwezo wake - muhimu ndoa na maisha ya furaha baadae hakuna haja ya kukopa na kuanza maisha ya madeni
 
Mradi wana furaha na Amani moyoni, mengine ni majaliwa.
sio mapombe wamelewa zikiisha kichwani wataacha maana hata makonda wanakuwaga na hyo tabia mwishowe unapata ajali unakufa unabakiza ninge ningekuwa hata kiwete hahaha a just kidding
 
Back
Top Bottom