Maharusi ndani ya bajaji: Kupanga ni Kuchagua

Percival

JF-Expert Member
Mar 23, 2010
2,655
2,000
Safi sana - kila mmoja na uwezo wake - muhimu ndoa na maisha ya furaha baadae hakuna haja ya kukopa na kuanza maisha ya madeni
 

for life

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
2,378
2,000
Mradi wana furaha na Amani moyoni, mengine ni majaliwa.
sio mapombe wamelewa zikiisha kichwani wataacha maana hata makonda wanakuwaga na hyo tabia mwishowe unapata ajali unakufa unabakiza ninge ningekuwa hata kiwete hahaha a just kidding
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom