much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 7,439
- 10,145
Daudi alimbiwa akakete magovi ya ndugu zako wapalestina ambao atakuwa amewauwa vitani.Sana tena, ndiyo maana nikafungulia uzi.
Uwache kudanganya, kuwa mkweli wa nafsi yako, usitetee ujinga kwa kudanganya.
Kisa hiki cha magovi kinakufundisha nini? Binafsi naona ni kichekesho tu.