FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,872
- 109,170
Mambo mengine ingawa ni ya "kweli" kabisa na ni "imani" ya wengi, lakini inabidi yawe jukwaa hili la utani. Maana mahari ya govi ni zaidi ya utani.
Nimecheka sana tena kuona kuwa mkono wa sweta, ndiyo, namaanisha govi, govi hili la wenye magovi limeshawahi kutumikia kama mahari ya kumuoa binti, tena binti mfalme. Kama huamini endelea kusoma...
25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.
26 Na watumishi wake walipomwambia Daudi; maneno hayo, ilimpendeza Daudi sana kuwa mkwewe mfalme. Na siku zilikuwa hazijaisha bado;
27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.
Biblia hiyo, 1 Samuel 18.