Maharamia wa kazi za wasanii wazidi kukamatwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maharamia wa kazi za wasanii wazidi kukamatwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 13, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280


  [​IMG]
  Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye thamani ya sh.milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam leo, wakati wa operesheni ya kuwakata wezi wa kazi za wasanii inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi
  [​IMG]
  Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye thamani ya sh.milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala.[​IMG]
  Msama akionyesha mashine zinazotumika katika kurudufu kazi za wasanii.
  [​IMG]


  HABARI MSETO BLOG

   
 2. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,195
  Likes Received: 1,921
  Trophy Points: 280
  Mi nilisha sahau kama Kuna Bongo Movie...

  Ila wasijidanganye kuwa wakiwakamata hivyo ndo Watu wengi watanunua ORGINAL.... Asilimia kubwa ya watu wanaongalia Kazi zao ni wale wa Uswahilini hasa hasa wanaMAMA na Mabinti zao. Ambapo Source kubwa ni hao wanaowakamata.. Hawawezi Kununua ORGINAL wanakodisha tu.

  Ni Mjinga gani Atanunua Movie 5000/= wakati Ray kwa Mwaka anatoa Movie karibu 10. Ukiachana na Yeye Kila Wiki kuna Movie mpya ya Kibongo inatoka wataweza Gharama wanunuzi..

  Cha kufanya Waingie UBIA na hao Wauzaji Wapate Asilimia Fulani kutoka Kwao. La si hvyo Bongo Movie inakufa.
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wanajidanganya
   
 4. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  ukitaka kuiba iba vitu vya maana, movie mpya za hollywood, premium softwares etc ambazo hata wahusika hawana habari na hela utakayopata kutokana na wizi wako....sasa mtu una uza muvi za kina ray, mtitu game nao wanaganga njaa, utakamatwa tu kama hawa jamaa afu muvi zenyewe unauza buku buku..........ubora wenyewe hafifu...basi tu wabongo hatunaga akili creative
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  mtaani kwetu kuna vibanda vya kuazimisha cd za bongo kwa jero tu sasa ninunue ili iewje? nikiipenda ntaazima naikopi kwenye kompyuta home thats it..........
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,829
  Trophy Points: 280
  Wapendwa, mbona na wao wasanii wetu wanaigiza nyimbo, filamu, za wasanii wa majuu!. Ushahidi ni kile kipindi cha Ze origino komedi sehemu ya kukopo na kupesti! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu wa uchungu.
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,054
  Likes Received: 3,241
  Trophy Points: 280
  Kama ni feki, zinakuwaje na thamani hiyo?
  Ivi mfano, noti feki ya sh elfu 10, inathamani ya sh elfu 10?
  Afu yeye ni nani mpaka anakuwa na uchungu kiasi hichi? Je analipwa kwa kazi hyo?
   
 8. Master jay

  Master jay Senior Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mbona nasikia hata huyo msama naye anawadhulumu wasanii?
   
 9. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  ninachoshindwa kuelewa ni hiki, nani amempa mamlaka msama alex kukamata na kunyangánya hizo computer na mali zingine, polisi wameshindwa, yeye pale yupo kama nani?anatafuta umaarufu upi, anataka kuwa nani? yeye hapo msama anakamata wenzie, lakini hata yeye wamemlalamikia sana, kuwa anawapiga panga sana wasanii wa gospel na kwamba ni tapeli wa kutupwa kwenye cd na dvd za gospel....akinyosha kidole kimoja kwa hao wezi, vinne ajue vinamrudia yeye....achunguzwe pia, asilete publicity ya masifa tu hapa kumbe na yeye anawanyonya sana wasanii.
   
Loading...