Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

Huyu Dr Idris Rashid ndiye aliyetafuta makampuni ya kigeni kuleta mitambo yake ya kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta kwa gharama ya kufilisi nchi. Ndiye mwanzilishi (founder) wa mitambo ya umeme wa mabeberu pale Ubungo maziwa na mitambo ya Dowans na IPTL.
Naona kama hujui historia ya tanesco unasikiliza vya mitaani tu. IPTL na Dowans viko tangu miaka ya tisini unakwenda kuandika kuwa mitambo ya Dowans na IPTL ameiagiza Dr Idris?

Hee chumvi nyingine bwana, hebu jaribu kutafuta facts zako kwanza.
 
Mtu wa Multi Choice ana uhusiano gani na umeme, anajua nini kuhusu Tanesco ? Au manager yoyote tu anaweza rushwa Tanesco? Tusubirie tu mikataba mingine ya ajabu ajabu.
Ndicho alichokifanya na sasa mteuzi anahaha kuficha makosa yake
 
Back
Top Bottom