Maharage aina ya Ngwala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maharage aina ya Ngwala

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by ANKOJEI, Sep 9, 2012.

 1. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Kuna aina ya maharage yanaitwa ngwala, waungwana najaribu kutafuta kwenye neti siyapati.
  Sifa,
  yanastail ukame hasa umasaini
  pili yana soko kubwa apo ulaya, marekani na asia,
  yeyote mwenye habari ya jina yake ya kiingereza please help!
   
 2. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  nilishaanzishaga topic siku nyingi kuhusu hili zao,ila sikupewa majibu ya kuridhisha,yana bei kubwa sana,ila ukuaji wake ni taratibu.....naungana na Ankojei kuomba wanaojua....asanteni
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mwaka huu nimepata gunia 6 ya zao hili na wakati navuna toka shambani nimepewa kila gunia 140,000/

  Yaelekea ina bei sana kule Nchi Kenya na hata kwingineko!
  Ngoja wadau waje!
   
 5. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu natumaini hujayauza kwa bei hiyo kwa sababu bei ya gunia moja ni zaidi ya hicho kiwango.Nina fikiria kulima hayo maharage Ruvuma,huku hakuna shida ya mvua.Ningependa kujua mbegu zake vipi na kila heka ina toa kiasi gani in terms ya gunia.
   
 6. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  @ Red, Mkuu funguka basi, mbegu zake zinapatikana wapi, ulimaji wake ukoje, hali ya hewa n.k
   
 7. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Hiyo kitu wataalam wanaita Fiwi. Tumewahi kufanya market research ya hii kitu miaka ya 2003/ au nne kwa maeneo ya Same na Babati. Sehemu kubwa ya zao hili kutoka Tanzania inauzwa Kenya an India.
   
 8. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yaani gunia zima linauzwa tsh 140,000 tu halafu tunasema haya maharage yana bei sana. Hilo gunia lina kilogram ngapi? Kwa nini tuendelee kuuza vitu kwenye kipimo cha gunia badala ya kupima uzito kwa kgs. Gharama za kuzalisha gunia moja la hayo maharagwe ni sh ngap? Maana tusiangalie tu pato la jumla tuangalie tofauti ya gharama ya uzalishaji na bei ya bidhaa ndio tujue kuna faida au hasa. Bei kuwa na figure kubwa haimanishi kuna faida kwa mkulima.
   
 9. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,963
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Nadhani yanalimwa wilaya ya Lushoto, Handeni, Korogwe, kilimanjaro na Arusha sehemu za milimani.
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Kivumah! Haya maharage yanapatikana ktk mbegu ya aina zaidi ya tatu na inastahili ukame na hata mvua nyingi! Na hayana gharama ktk kusema unatumia dawa kwani si rahisi kushambuliwa na wadudu waharibifu kwa mazao!
  Na ktk ekari moja waweza hata ukapata zaidi ya gunia kumi na mbili.

  Kwa kweli ni zao moja ambalo ni zuri sana ktk hali ya biashara kwani hapa A town ina wateja sana!
  Ila sasa Mi hizo chache nilizouza kwa bei hiyo ni kwmb wamenikuta nilikuwa ktk wakati mgumu sana shambani na nikaamua kuuza kusudi nijikombowe kwa muda ule!
  Ila kuna kipindi hata gunia moja yenye debe 6 huuzwa mpaka laki mbili bila ya kukosea.

  Kwa ujumla ni zao safi sana kwa biashara jamani na mbegu zake utazipata ktk maduka ya TFA hapa Ar
   
 11. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Asante Mkuu. Nitapita TFA
   
 12. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Bosi tutafutane nko Arusha kwa sasa,
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  wakuu....ni maharage haya mnazungumzia.........?

  black_beans1.jpg
   
 14. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  ntapiga picha niiweke hapa, iyo siyo Preta
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. K

  Kimalapamba Member

  #15
  Dec 18, 2013
  Joined: Oct 19, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu naomba msaada wa maharage haya aina ya ngwala/fiwi
   
 16. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2013
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,236
  Trophy Points: 280
  Ibadi nikifika Arusha January niyatafute hapo TFA kwa mbegu.
   
 17. G

  Gsamaritan Member

  #17
  Jan 8, 2014
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kwa ujumla haya maharage yanaota sehemu za ukame na hayahitaji mvua sana kwa hiyo hulimwa mwisho wa msimu yaani wakat mvua zinaishia.mwaka 2004 gunia lilifika sh laki 4 za kitanzania it is a very good and promising business to start
  Yanalimwa na wenyeji wa wilaya ya Ngorongoro maeneo ya kwa babu Ambilikile na pia Babati,terrat simanjiro ukija Arusha masokoni utayakuta
   
 18. Qualifier

  Qualifier JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2014
  Joined: Dec 14, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mtoa maada alitaka kujua yanaitweje kwa kiingereza? Ni lablab beans . ukitaka na botanical name niulize
   
 19. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2014
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  Tupe tu na botanical name mkuu itasaidia sana kufanya research aiseee
   
 20. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2014
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  Information nzuri sana hii mkuu

  Vipi kwa ardhi za maeneo ya pwani kama Rufiji na Mkuranga hili zao liinaweza kustawi vizuri kweli??

  Vipi bei ya sasa ya zao hili sokoni ikoje maana inaonekana ni useful bussiness
   
Loading...