Mahanga mvamizi wa maeneo yawazi?

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
28,903
10,534
Gazeti la The African la leo Jumapili 04/09/2011 kwenye ukurasa wa mbele limechapisha picha ya ukumbi wa Nyantare uliopo Tabata Bima D'Salaam kuwa kabla ujenzi eneo hilo lilikuwa la wazi,pia jirani ya eneo hilo kuna baa ya Nyantare Inasemekena Mh Makongoro Mahanga amekuwa behind na mipango ya kujitwalia maeneo ya wazi hasa jimboni kwake kwa manufaa yake binafsi.
 
Huyu amezoea ufisadi toka yupo shirika la nyumba akiwa afisamipango wakati huo, alisabisha wananchi kuuziwa nyumba ambazo hazikuwa zimekamilika katika mtaa wa kimanga darajani kulingana mipango ya shirika la nyumba wakati huo, nyumba ilikuwa ziuzwe zikiwa na zimekamilika iwapo mfumo wa maji taka pamoja na cocret road kwenye eneo la mradi nyumba hizo hapo kimanga.
 
gazeti hilo halikufanikiwa kumhoji Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala?anasemaje?
meya wa ilala anasemaje? huyu wa jiji(masaburi)ni mshkaji wake, hana usemi hapo
 
gazeti hilo halikufanikiwa kumhoji Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala?anasemaje?
meya wa ilala anasemaje? huyu wa jiji(masaburi)ni mshkaji wake, hana usemi hapo
Hili la uswahiba ndo linaimaliza nchi hii.
 
Duh! Huku waziri wa Ardhi anahangaika kuwabomolea watu waliojenga maeneo ya wazi, mwenzake anaendelea kula faida ya kujitwalia mojawapo ya maeneo hayo!
Kaaaaaz kwel kwel!
 
Uvamizi huu wa Mahanga na Masaburi kwenye maeneo ya wazi ni mtihani mkubwa sana kwa waziri Tibaijuka ili kutimiza azma yake ya kuzirudisha sehemu hizo kwa wenyewe wananchi. Ni mtihani mkubwa hasa ikizingatiwa kuwa Meya wa Ilaa Jerry slaa ni kikaragosi wa hawa jamaa na wako katika genge moja kufisadi mali za jiji!! Iwapo kanuni na taratibu za mipango miji zitazingatiwa hapo mama Tibaijuka anaweza kuibuka kidedea.
 
Duh! Huku waziri wa Ardhi anahangaika kuwabomolea watu waliojenga maeneo ya wazi, mwenzake anaendelea kula faida ya kujitwalia mojawapo ya maeneo hayo!
Kaaaaaz kwel kwel!
Naona yeye yuko juu ya sheria.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom