Hi wadau,
Baada ya kupiga kazi mwaka mzima katika jiji la Dar es Salaam, Mimi na Mr. tunafikiria kwenda kupumzika Morogoro for at least 5 days,
Naomba mniambie mahali pazuri pa kupumzika na gharama za malazi n.k. zikoje, thanks in advance!
Moro viwanja vipo kibao tu inategemea na mfuko wenu tu.
Kama mfuko wenu mnene nendeni maeneo ya 8 8 kuna Lodge nyingi na tulivu
Kama mfuko wenu wa manati mnaweza kwenda maeneo ya Kihonda, Mazimbu, Iringa road, Mji mpya n.k
Thanks for info!
Nenda kwene hotel ya makamba, bei muulize mwenyewe au mwanae through facebook... tutakutana huko huko
Ingekuwa vizuri Fidel.Unataka na majina ya Hotel, Lodge na Guest?
Noted!but iko sehemu gani? hapo hapo mjini au..Arc mountain lodge ni nzuri na tulivu vibaya sana.ndo nilikopumzika mimi wakati nimechukizwa na NEC baada ya kuchakachua matokeo
hivi pale salama kweli na ule ukimya, maana panatisha. Tsh. 60,000/= kwa roomArc mountain lodge ni nzuri na tulivu vibaya sana.ndo nilikopumzika mimi wakati nimechukizwa na NEC baada ya kuchakachua matokeo
Ndio, kuelekea Ifakara>Kilomberohivi mikumi ni moro?
hivi mikumi ni moro?
Noted!but iko sehemu gani? hapo hapo mjini au..