Mahali pa kupumzika morogoro

Lady

JF-Expert Member
Apr 12, 2010
282
61
Hi wadau,
Baada ya kupiga kazi mwaka mzima katika jiji la Dar es Salaam, Mimi na Mr. tunafikiria kwenda kupumzika Morogoro for at least 5 days,
Naomba mniambie mahali pazuri pa kupumzika na gharama za malazi n.k. zikoje, thanks in advance!
 
Moro viwanja vipo kibao tu inategemea na mfuko wenu tu.

Kama mfuko wenu mnene nendeni maeneo ya 8 8 kuna Lodge nyingi na tulivu

Kama mfuko wenu wa manati mnaweza kwenda maeneo ya Kihonda, Mazimbu, Iringa road, Mji mpya n.k
 
Thanks for info!

Nenda kwene hotel ya makamba, bei muulize mwenyewe au mwanae through facebook... tutakutana huko huko
 
Arc mountain lodge ni nzuri na tulivu vibaya sana.ndo nilikopumzika mimi wakati nimechukizwa na NEC baada ya kuchakachua matokeo
 
Flomi Hotel 25,000
pazuri sana pana upepo mzuri, wahudumu wastaarabu.

Gwami Executive Tsh. 20,000. Pazur, parking kubwa, security, maji n.k
 
Kuna B1 pia ni nzuri zipo town na nadhani bei ni cheap kidogo ukilinganisha na Arc, bei inaweza ikawa 25-35,000, kama unataka za kujificha (kichochoroni) na nzuri na price nzuri sema tukupe pia!
 
Dah moro tena kwa kuuliza viwanja.dah nyi ndo mumene safi sana ,mi tu natoka mtwara nakwenda moro kwa mapumziko tuu . Moro kuzuri,
sehemu ni nyingi kwa huduma ya kulala kule 8 8 kuna lodge nzuri sn sn ni chembe zako tu. Na sehemu ya kwenda kupumzika kama kule kwenye maporomoko rockgarden kupo powa mta enjoy sn kama pia wapenzi wa nyama ya mbuzi katoliki unamweza kwenda njia ya mazimbu kuna sehemu nzuri au kihonda bima pia mnyama yupo .
Kazi kwenu. Dah hiyo safi sana nakuambi ndoa yenu itadumu sana sana
 
Back
Top Bottom