Mahali pa kupata lunch na dinner Dodoma

sabuwanka

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
690
751
Wakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na lunch.

Zitakuwa mwongozo kwa wote wageni na wakazi wa Dodoma.

Karibuni.
 
Wakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na lunch
Zitakuwa mwongozo kwa wote wageni na wakazi wa Dom, karibuni
Chef asili
 
Lunch:
Chef Asili... ila bei yao kidogo nayo imenoga
Mwambao nasikia pako vzr pia
Dinner: nenda barabara ya 8... ulizia kwa Abu Asmaa... Bitings za kumwaga
 
Back
Top Bottom