Mahakimu kutupa kapuni kesi zote zinazowahusu wabunge wa upinzani!

mwacheni77

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
763
209
Wakuu hili mnalionaje waheshimiwa mahakimu kutupilia mbali kesi zote zilizofunguliwa zidi ya wabunge wa upinzani cos jana waliona jinsi gani wabunge wa ccm walivyopambana kukataa maslai yanayowahusu waheshimiwa mahakimu,na wameona kwa kiac gani wapinzani walivyojitahidi bila mafanikio kuwatetea...
Nawasilisha
 

koo

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
258
67
Mahakama haziongozwi kwa ushabiki acha kukurupuka kupost vtu vyakufikirika pevuka kijana
 

Quinty

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
462
74
Kwa nchi kama Tanzania ni kweli itawainfluence sana mahakimu kutenda kazi sana sana zinazowahusu serikali. Watafanya kazi kulipiza kisasi. Ikumbukwe pia kwamba hakimu akiwa mahakamani hatendi kosa na hashtakiwi awapo kazini.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom