Mahakimu kupata dharura siku ya kesi ni udhaifu mkubwa wa muhimili wa Mahakama?

Na kila mtuhumiwa awe na mbadala ili akipata dharura aje mbadala wake? Suala la dharura kwa binadamu linafahamika bwana, usiwe too negative!
Kama ingelikuwa dharura inakubalika kirahisi hivyo na Wazungu basi kila siku zingekuwa zinaanguka ndege zaidi ya 10.

Kuna kesi lazima ziwe fast tracked kutokana na uzito wake. Kesi kama hizi zinatakiwa ziwe zinasikilizwa kila siku mpaka ifike hitimisho once ikishaanza. Mara unasikia hakuna gari ya kumleta mtuhumiwa. It's utterly nonsense, and you know damn well as well as they do!
 
Hoja ni uwepo wa dharura. Ni kwamba dharura hazizuiliki. hata kama zitasikilizwa kila siku bado dharura zitatokea tu!
 
Hapa ndipo JF ilipogota. Mahakimu hawatakiwi kuwa na dharura bali wafanye kazi kama ma-robot. What a stupid idea, and then they should inform tabutupu!.
 
Sio mara moja wala mara mbili utasikia Hakimu amepata dharura hayupo.

Watu wanafika Mahakamani wana kaa wanasubiri ndio utasikia taarifa inakuja hakimu Rutashobya mwakasabini hayupo amepata dharura.

Ina maana Mahakama haina mbadala wa hakimu anapo pata dharura?

Kwanini haya yanatokea kwa kesi ambazo zinamwonekano wa kisiasa?

Mahakama kuto toa ufafanuzi wa dharura za mahakimu kupata suluhu wanaona swa tuu.

Kwa kweli nimefikiria nashindwa kujua tofauti ya mahakama na wale wakurugenzi waliokuwa wanapata dharura siku ya viongozi wa upinzani kurudisha form.

Mahakama inahitaji kuliangalia jambo hili kwa ukaribu zaidi., wananchi bado tuna imani na muhimili huu wa mahakama.

Tabutupu

Nyaishozi, Kagera.
Hivi mwenye mamlaka ya kuteua majaji ni nani. Na mwenye mamlaka ya uteuzi aweza kuwa na sauti juu ya wateuliwa?? "Tafakari, chukua ufahamu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom