ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,850
Kama ingelikuwa dharura inakubalika kirahisi hivyo na Wazungu basi kila siku zingekuwa zinaanguka ndege zaidi ya 10.Na kila mtuhumiwa awe na mbadala ili akipata dharura aje mbadala wake? Suala la dharura kwa binadamu linafahamika bwana, usiwe too negative!
Kuna kesi lazima ziwe fast tracked kutokana na uzito wake. Kesi kama hizi zinatakiwa ziwe zinasikilizwa kila siku mpaka ifike hitimisho once ikishaanza. Mara unasikia hakuna gari ya kumleta mtuhumiwa. It's utterly nonsense, and you know damn well as well as they do!