Mahakamu Kuu kesho kutoa uamuzi kuhusu kesi ya kikatiba kupinga Wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi

Kimsingi, hii ni kesi ya kikatiba, nitashangazwa sana kama mahakama itaenda kinyume na katiba.
Bahati mbaya sana mahakama zetu hazieleweki kwani utendaji wake katika kutoa haki hutegemea ni hakimu au ni Jaji gani anahusika katika kutoa haki husika na si sheria zinasema nini.
 
... siku hizi Mahakama inakaa Jumamosi? Au ni tweet ya jana?

Sorry, kumbe ni post ya jana; so uamuzi wa Mahakama ni leo Ijumaa. Tunasubiria updates.
 
Nikisikia ishu ya katiba tz huwa nabaki kusema hihihihihiiiiii, kwani huwa inasemaje kuhusu vyama vya siasa kufanya siasa na kwa sasa kipi kinaendeles
Mimi nafikiri bora kujiuliza jiwe anasemaje kuliko kusema katiboooo inasemaje
 
By Bob Chacha wangwe kupitia twitter:

Kesho saa 8:00 mchana Mahakama kuu ya Tz DSM inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya Kikatiba inayopinga sheria inayowafanya Wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Tufike kwa wing

Kufika kwenu kwa wingi kutamfanya hakimu abadilishe hukumu? Yale yaliyokwishwa pangwa ndiyo yatakayotangazwa na si vinginevyo.
 
namuona akili kubwa Shangazi at work!! mtu makini tuliemnyamazisha kwa kuamsha pipo!! hiyo ni safari njema iliyotukuka, mimi nafuata ilani ila napenda tushinde kwa haki kitu ambacho tuna uwezo nacho!
Na ndipo siasa inakuwa tamu kama siasa za Ulaya. Siasa ni raha, siasa ni maendeleo, siasa ni upendo. Afrika tu ndip siasa ni kuuana, kutekana, kutafutana uchawi n.k.
 
Back
Top Bottom