Mahakamani Kisutu: Watatu mikononi mwa polisi kwa kubeba mabango ya kumkashifu Mtukufu Rais Magufuli

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Screenshot from 2016-06-30 16:53:30.png

Wafuasi wa UKAWA walitiwa mbaroni baada ya kutoke mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa kumkashifu Mtukufu Mkuu sana, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Baadhi ya Mabango yalikuwa yanasomeka...
  • Dikteta uchwara utashindwa
  • Dikteta uchwara nenda Burundi
  • Polisi uchwara acheni kutumika
Maoni Yangu;
Kuna msemo usemao Volenti non fit injuria wakimaanisha la kujitakia halina majuto. Hawa wafuasi naona wamejitakia au wametumwa na viongozi wao uchwara kubeba mabango ya kashfa kwa Rais. Mbowe alikuwepo mahakamani, kwanini yeye hakubeba bango la kashfa? Kwanini awatumie wafuasi wachache wasiojielewa?

Hivi nalo hili mtalalamika kuonewa?
Kwanini hamuheshimu Taasisi ya Urais?
Kwanini hamuheshimu Rais?

Mnataka nini hasa wana wa upinzani?
Wana Jf wasalaam!
Jana kwenye shauri la uchochezi lilokuwa likiendelea mahakama kuu kulikuwa na wafuasi wengi wa Tundu Lissu ambao kimsingi walikuja kumuunga mkono mwenzao.

Kama wana jf mliangalia vizuri TV mtakubaliana namimi baada ya Lissu kupewa dhamana alipokuwa anaongea na waadishi wa habari walionekana baadhi ya wafuasi wake wakiwa wamebeba mabango ya jumbe mbali mbali zilizo kuwa zikimkashifu Rais!

Lakini chakufurahisha jeshi la polisi liliamua kuchukua hatua pale pale kwa kuwakamata baadhi ya wabeba mabango yale na ni wazi wafuasi wale waliandaliwa na baadhi ya viongozi wa chadema kuandaa jumbe zile kuja nazo mahakamani!

Kwakuwa ni wazi wali lala rumande jana hivyo wana haki ya kupatiwa mawakili 11 kama alivyopewa Tundu Lissu japo walizusha kuwa ni mawakili 17 lakini record zinaonyesha alikuwa na mawakili 11!

Ni wito wangu kwa wananchi kuacha kufata mkumbo wa wanasiasa na kutokubali kutumika kama wajinga huku wanasiasa wakiendelea kudunda mtaani! Lazima wajua mchuma janga hula na wakwao!

Karibuni wana jamvi!
 
....mbona hata wewe unatumika! au kwa kuwa unatumika nyuma ya keyboard ndio maana hujielewi?!

Mmmmmmmmmmmmmmh, siamini hivyo...ina maana sisi wote humu JF tunaotoa maoni na mawazo yetu (ukiwemo wewe ndugu yetu) humu JF tunatumika!!!!!!!!!!!?????????????
 
Hawa wajinga wapotezwe liwe fundisho.

Mjinga hajitambui kabisa...yaan wanawaiga viongozi wao,wanashindwa kukumbuka kuwa viongozi wa kisiasa wao wana kinga kisheria?

Kweli ukawa mmelogwa.
 
Back
Top Bottom