Mahakama zetu tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama zetu tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Feb 25, 2011.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mwakalebela Aachiwa Huru..........

  [​IMG]

  Frederick Mwakalebela (kushoto) akitoka mahakamani leo baada ya kuachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Iringa chini ya hakimu wake Mheshimiwa Festo Lwila katika kesi yake ya rushwa ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili. (FransicGodwinblog)
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mwambie achape kazi sasa,...na aache ujinga ajiunge na chama makini hapa nchini (CDM)
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,745
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jamani,sio kwamba kesi iliahirishwa kutokana na msiba wa jaji mfawidhi wa mahakama ya Iringa?
   
 4. akajasembamba

  akajasembamba Senior Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tumeambiwa kesi imeahirishwa, uhuru labda ni kuendelea na dhamana
   
Loading...