Mahakama zetu na kesi za Uchaguzi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,173
73,614
May be kutakuwa na kesi nyingi, je mahakama ziko tayari kuzi handle justly? Kwa ushahidi unaotegemewa kutolewa, ni wazi katika haki zote zitatenguliwa nyingi za "ushindi" was kubeba mabox na kufukuza mawakala
 
Hata viongozi wa DINI NI WAONGO SANA.

Ama kweli Mungu awasamehe
TAIFA LINAPITIA MISUKOSUKO MIZITO.
 
Usishangae viongozi wa dini wakaendelea kumnyenyekea ! Na aone hata aibu ya kuingia ibada!!
 
Msimu wa mavuno kwa mawakili...unashindwa kwa tofauti ya kura 60,000 kama Mbowe alafu wakili anakwambia "tutakutetea na utashinda tu" pumbavu sana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom