Mlianza ninyi, hatuwezi kuwapa nchi CHADEMAHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
5 tenaMnadhani kwanini Dangote Tanzania ameshindwa kuilipa NSK ?
Sasa umeandika hivi kumkomoa Rais asielewe?Kumbe ni involuntary petition for liquidation by creditors.
Unamaanisha huyu bush lawyer ndio wakili msomi?Kubali hoja ya msingi kwanza ya Wakili Msomi Mselewa, hayo maswali mengine yakupasa kuuliza uongozi wa Dangote.
NdioDa unaushahidi mkuu mkiminywa mnasema mnaonewa uliona akiua
CCM ya Magufuli ina roho ya kishetaniNdo matokeo ya UMIMI.
Mitano tenaHabari mbaya, Ajira za watanzania zinapotea kwa mara nyingine
Mitano tenaHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Ushakunywa k.vant andika vizuri basiBadohujasema ww unafikili watakaomia ni wanachema tu yn wataumia mpaka waleambao hawana chama watu wakisema siasa nimaisha nyinyi mnawahadaa tu watanzania endeleeni kutengeneza sera mbovu tu
Acha kuchukulia kila kitu kisiasaHiyo ni habari nzuri sana kwa chadema leo watashangilia usiku kucha.
Kuna kiwanda cha simenti chenye nembo ya mnyama kiko mkoa wa Pwani nacho kimeanza kufunga virago! Japo kimezuiliwa na mkuu wa wilaya.Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda...
Habari yako ni ya october na leo ni december