Elections 2010 Mahakama yawezeshwa baada ya uchaguzi

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Wananchi wenye Hasira Kali wameamua Kumruhusu Mheshimiwa Mramba kuhudhuria Mahakamani mara kwa mara bila kesi yake kuhairishwa tena kwa sababu za kisiasa.

Wakitoa uamuzi huo Wananchi wameamua kumchagua mgombea mwingine ashike nafasi yake ili kupunguza usunmbufu kwa Mahakama.

Hata hivyo habari nilizonazo hivi punde ni kwamba amekubali ombi hilo la wananchi na hivyo anategemea mahakama itamhukumu mara moja aweze kutumikia adhabu yake.


Habari ndo hii
 
Back
Top Bottom