Mahakama yawaachia huru Viongozi wa BAVICHA walioshitakiwa Dodoma sababu ya kuzuia mkutano wa CCM

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg
Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewaachia huru viongozi wa Bavicha Taifa waliokua wakishtakiwa mahakamani hapo kwa kesi ya Uchochezi baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kudhibitisha madai yao. Huu ni muendelezo wa serikali kuangukia pua katika kesi mbalimbali zinazohusu uchochezi.!

Kesi hii ilihusisha viongozi wa Kitaifa ambao walikamatwa mara baada ya kutangaza kwenda "kuisaidia" polisi kuzuia mkutano mkuu wa CCM ulioitishwa ili kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa ili hali kulikuwa na zuio la mikutano ya kisiasa nchi nzima kutoka kwa Polisi.
 
makamanda wanalia? wakitoka hapo waende kumsaidia mbowe kujenga ofisi ya chama, TUMECHOKA KUPANGA!
 
Unajua mm chadema huwa naona kama hawajielewi! Hivi mnafikiri kabisa kweli kwamba serikali huwa inashindwa hizo kesi?

Hayo natukio huwa yanaenda kwa wakati maalumu, kwa sababu maalumu, sehemu maalumu na kwa watu maalumu!

Lengo lao la kukamatwa lilishapita na hata wao wanajua ni uwenda wazimu kumfunga mti kwa kesi kama hizo! Wao wanawafanyia hivyo kwa sababu maalumu!

Na wanajua kwamba ninyi ni nyumbu mtashangilia leo na kesho lakini baada ya hapo mtasahau huku wenzenu kazi yao ikiwa imeshakwisha!

Poleni sana wana Ukawa mnachezewa kama watoto.
 
Haya umesikika , tuma salamu zako Lumumba
 
Mkuu nyinyi na serikali yenu msijifariji, huku kushindwa hizi kesi ni sawa na kushikwa ugoni yaani mmeshikwa mkiwa uchi wa mnyama. Mimi nawaona hivyo nadhani kila siku tunaongezeka tunao waona hivyo.
Pole sana mkuu....ccm ni wajanja ndio maana wakishamaliza ya kwao wanawachia kwa kujifanya kushindwa kesi, lkn ukweli ni kwamba lengo lao linakuwa limeshatimia!
 
Unajua mm chadema huwa naona kama hawajielewi! Hivi mnafikiri kabisa kweli kwamba serikali huwa inashindwa hizo kesi?

Hayo natukio huwa yanaenda kwa wakati maalumu, kwa sababu maalumu, sehemu maalumu na kwa watu maalumu!

Lengo lao la kukamatwa lilishapita na hata wao wanajua ni uwenda wazimu kumfunga mti kwa kesi kama hizo! Wao wanawafanyia hivyo kwa sababu maalumu!

Na wanajua kwamba ninyi ni nyumbu mtashangilia leo na kesho lakini baada ya hapo mtasahau huku wenzenu kazi yao ikiwa imeshakwisha!

Poleni sana wana Ukawa mnachezewa kama watoto.

Kwahiyo uko sahihi serikali kutumia muda mwingi kwa kesi za kuokoteza wakati kuna kesi za maana zinakaliwa tu.

Akina Lugumi na Escrow wanapita barabarani kwa raha zao hawaguswi unashangilia Upinzani kufunguliwa kesi uchwara.
 
Unajua mm chadema huwa naona kama hawajielewi! Hivi mnafikiri kabisa kweli kwamba serikali huwa inashindwa hizo kesi?

Hayo natukio huwa yanaenda kwa wakati maalumu, kwa sababu maalumu, sehemu maalumu na kwa watu maalumu!

Lengo lao la kukamatwa lilishapita na hata wao wanajua ni uwenda wazimu kumfunga mti kwa kesi kama hizo! Wao wanawafanyia hivyo kwa sababu maalumu!

Na wanajua kwamba ninyi ni nyumbu mtashangilia leo na kesho lakini baada ya hapo mtasahau huku wenzenu kazi yao ikiwa imeshakwisha!

Poleni sana wana Ukawa mnachezewa kama watoto.
Lakin hamuoni mnashusha credibility ya mawakili wa serikali?
Hamuoni mnaishushia heshima serikali kwa kushindwa kesi kila mara?
Hamuoni kuwa mnatumia kodi za wananchi vibaya kwa kulipia uendeshaji wa kesi zisizo na maana???
Hamjui mnawasababaisha wananchi kujenga uhasama na dola lao??
Hamuoni madhara ni makubwa kuliko hako ka faida uliko jaribu kutuelezea na bado umeshindwa kuelewaka???

MSIFANYE KAZI ZENU KWA MAZOEA YA SERIKALI ZA AWAMU ZILIZO PITA......BADILIKENI
 
Unajua mm chadema huwa naona kama hawajielewi! Hivi mnafikiri kabisa kweli kwamba serikali huwa inashindwa hizo kesi?

Hayo natukio huwa yanaenda kwa wakati maalumu, kwa sababu maalumu, sehemu maalumu na kwa watu maalumu!

Lengo lao la kukamatwa lilishapita na hata wao wanajua ni uwenda wazimu kumfunga mti kwa kesi kama hizo! Wao wanawafanyia hivyo kwa sababu maalumu!

Na wanajua kwamba ninyi ni nyumbu mtashangilia leo na kesho lakini baada ya hapo mtasahau huku wenzenu kazi yao ikiwa imeshakwisha!

Poleni sana wana Ukawa mnachezewa kama watoto.

Kwa cost ya nani?
 
Back
Top Bottom